LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Ukwel hii inampa nguvu Israel kwenda Iran maana anaimudu kabisa na yeye anawinda nuclear sites maan Iran akishapata nuclear weapons hapatoshi middle east lakin Biden anakauoga kwa escalation kutokea Ww3 inaweza anzia hapo
 
Naiona Israel ikijibu mashambulizi ya Iran. USA anaweza kuongea nje kwamba Israel isijibu mashambulizi kumbe back door anamwambia Israel ingia vitani tutakusapport
Ukwel kabisa netanyau Yuko determined kabisa kupigana vita keshaona maadui wanaongezeka kila kukicha it's now or never hawez potezea tu kwamba amani ipo Iran ipo siku ataivamia Israel akiwa stronger than ever Ili kutimiza adhima yake ya kuitoa kwenye ramani ya Dunia
 
Nawakumbusha tu. Israel ameshapigana vita kama hizi kwa kuchangiwa na Arab States na akashinda vita zote. So hii si mpya kwake. Mfano vita ya Yom Kippur, alichangiwa na Arab States zaidi ya 8 na akashinda. Ni suala la muda tu.
 
Ukwel hii inampa nguvu Israel kwenda Iran maana anaimudu kabisa na yeye anawinda nuclear sites maan Iran akishapata nuclear weapons hapatoshi middle east lakin Biden anakauoga kwa escalation kutokea Ww3 inaweza anzia hapo
GAxuLq2W4AAXCTa.jpeg
 
Kama Marekani kaahidi Kumsaidia Israeli nina uhakika pia muda siyo mrefu tu na Urusi nae atatangaza kumsaidia Iran.
 
Tujifunze kujitegemea kwa kila kitu...na inawezekana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Jordan yupo upande upi huyu, au ndo kama marekani anapeleka huku mabomu na kwingine chakula
 
Iran anatakiwa kuwa mwangalifu sana. Anatafutwa kwa muda mrefu sana. Lilianzia kwenye maandamano ikashindikana kuuangusha utawala wa iran. Sasa akawekewa mtego kwenye ubalozi. Nae kaingia kingi.

Ukiipiga Israel ni sawa na emeipiga marekani. Matajiri watoa maamuzi wa Marekani wana asili ya Israel. Hivyo watatumia kila aina ya resouces. Kwenye ishu ya Israel kwa mmarekani hakuna mrengo wa chama.

Kwanini Iran ni threat. Ni ukweli kuwa Iran kwenye technologia ya silaha anakuwa kwa kasi kubwa. Ni hatari mtu kama huyu kuachwa aendelee kukua kwani mrengo wake unajulikana. Hivyo kila sababu ya kumcheleweshwa lazima itafutwe

Iran anatakiwa ajifunze kwa China. Wachina wao hawataki hizi papara za kujitutumua. Kati ya kitu ambacho angetakiwa kufanya ni kuwa na mazungumzo ya hapa na pale huku akiwndelea kujiimarisha kiuchumi na kiulinzi.
Pia swala la kufadhili makundi ya mbalimbali yanayoendelea kufanya vita nchi nyingine litamgharimu. Irani hajakuwa kiasi cha kuanza kufanya anayofanya.

Me naona anaingia kwenye mtego.
Sawa huo ni mtizamo wako...Je Iran aendelee kukaa kimya uku US akiendelea kuongeza military bases jiran kabisa na yeye? Je Iran ajipendekeze kwenye mazungumzo wakati Israel ikiendelea kujengwa kijeshi na US ili ndo awe superpower meddle east refer $3 Bil US ambazo US amekua akimpa kila mwaka achilia mbali na misaada mingine....Iran anajua sana kua anatafutwa lakini hakubali kinyinge ivo ndomaana amefanikiwa kuunda Proxies all over meddle east ambazo ziko more powerfull refer uwezo wa Hezbollah na Houth...Hizi Proxies zinasaidia sana kwani wakati US/UK/Israel wanaendelea kuumizana na hao watoto tukutu wa Iran...Iran yenyewe inajiimalisha kijeshi kwa kuongeza stock ya makombora tena yenye precision ya at least 95%.. US anachofanya ni kuweka more sanctions kwa Iran ili A slow down maendeleo yake maana US na allies wake wameshashtuka aya maaendelea ya Iran kwenye kila nyanja despite severe sanctions and economic embargoes lakini muajemi ndo kwanza anazidi kutusua... Vita vya Russia na Ukraine bila Muiran kusupply Shaheed kamikaze drone Russia alikua ameanza kua kuelemewa... So Iran anajua nini amefanya na nini atafanya km Israel atalipiza kisasi...Jiulize kwann US alipomuua Haj Qassim Suleiman na Iran akishambulia military bases za US uko Irak na Syria tena chini ya Trump na Netanyahu mbona waliufyata hawakulipiza uko Iran? Jibu ni rahisi Iran kwasasa ameshajiimalisha kwa makombora yake mengi na ndo kwanza anazid kuzalisha....na eneo lote la meddle east ambapo US ana base zake ni easy target kwa Iran...Hakuna Utakapo shambulia sijui kwa melivita za US usitegemee Iran kutozofikia
 
Back
Top Bottom