Iran anatakiwa kuwa mwangalifu sana. Anatafutwa kwa muda mrefu sana. Lilianzia kwenye maandamano ikashindikana kuuangusha utawala wa iran. Sasa akawekewa mtego kwenye ubalozi. Nae kaingia kingi.
Ukiipiga Israel ni sawa na emeipiga marekani. Matajiri watoa maamuzi wa Marekani wana asili ya Israel. Hivyo watatumia kila aina ya resouces. Kwenye ishu ya Israel kwa mmarekani hakuna mrengo wa chama.
Kwanini Iran ni threat. Ni ukweli kuwa Iran kwenye technologia ya silaha anakuwa kwa kasi kubwa. Ni hatari mtu kama huyu kuachwa aendelee kukua kwani mrengo wake unajulikana. Hivyo kila sababu ya kumcheleweshwa lazima itafutwe
Iran anatakiwa ajifunze kwa China. Wachina wao hawataki hizi papara za kujitutumua. Kati ya kitu ambacho angetakiwa kufanya ni kuwa na mazungumzo ya hapa na pale huku akiwndelea kujiimarisha kiuchumi na kiulinzi.
Pia swala la kufadhili makundi ya mbalimbali yanayoendelea kufanya vita nchi nyingine litamgharimu. Irani hajakuwa kiasi cha kuanza kufanya anayofanya.
Me naona anaingia kwenye mtego.