LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Maneno meeeeeeengi, Israel Kama ana ubavu ajibu.Simple tu
Israel njia yake ya kujibu ni tofauti na Iran, sababu israel yeye atalenga tu target yake moja ambayo itahit, yeye akipiga moja tu inaondoka na top General wa Iran, Iran ni kama hakuna alichofanya zaidi ya matambo tuu..sasa unarushaje makombora 300 alaf yote yanatunguliwa iraq na jordan? yaliyofika israel ni kama 1% ambayo nayo yametunguliwa..sasa alichofanya kimeleta madhara gan kwa israel?

mfano jana usiku watu wa telaviv walikua wanajua makombora yameshatumwa yanakuja kwao na walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida yani.
 
Ngoja tuone hii vita badae tusije kusikia Israel anaua watoto na wanawake. Uzuri bado tupo.
Wanaua wanawake na watoto, huo ni ukweli Na watakapoua wapenda haki wataongea.

kama jana lengo la Iran ingekuwa ni kuua wanawake na watoto angeua wengi tu, ila adui yake sio wanawake na watoto Bali ni jeshi la Israel na ndio alilopiga.
 
Hii vita itapiganwa kinafiki lakini itakuwa na kivumbi sana
Israel alijiona mwamba wa kufanya kila kitu anachotaka na hakutegemea Iran atalipa tu
Israel bila USA ni trash tu
Umeona waisrael waliokwapua ardhi na nyumba za wapalestina wanavyoikimbia Israel leo baada ya kufungua airspace kidogo tu
Wote wanapigana vikumbo airport
Vita ni vita tu ila kuna watoto hawajui bali ushabiki tu
Leo shelf zote supermarkets zipo tupu yaani drones tu
 
Unachekesha kweli. Hizo drones na missiles jana zimerushwa kutokea Iran zaidi ya km 2000 wameanza kuzuia kuanzia Iraq mpaka Jordan kwani huko kote zilipopita hakuna uli

Unachekesha kweli. Hizo drones na missiles jana zimerushwa kutokea Iran zaidi ya km 2000 wameanza kuzuia kuanzia Iraq mpaka Jordan kwani huko kote zilipopita hakuna ulinzi?
Ulinzi
Hizo nchi nyingine walianza kuzuia lakini imeshindikana

Unachekesha kweli. Hizo drones na missiles jana zimerushwa kutokea Iran zaidi ya km 2000 wameanza kuzuia kuanzia Iraq mpaka Jordan kwani huko kote zilipopita hakuna ulinzi?
Kwahyo unafikr ilaq inaweza zuia offense za Iran ukitegemea wote mahasim wa Israel jiongeze na Iran alitoa tamko la atakayeluhus angalake kutumika na Israel watakua maadui
 
Media kubwa zote zinalipwa na mazayuni zisirushe habari zisizoluwa na propaganda zao. Na sasa wameanzisha kampeni ya dunia nzima kuwanunua hata media binafsi (Pro Palestine) wasiandike dhidi yao.
Unaweza kutuwekea ushahidi wa hili? Au umemsikia tu Imam wenu msikitini akisema hivyo?
 
Israel njia yake ya kujibu ni tofauti na Iran, sababu israel yeye atalenga tu target yake moja ambayo itahit, yeye akipiga moja tu inaondoka na top General wa Iran, Iran ni kama hakuna alichofanya zaidi ya matambo tuu..sasa unarushaje makombora 300 alaf yote yanatunguliwa iraq na jordan? yaliyofika israel ni kama 1% ambayo nayo yametunguliwa..sasa alichofanya kimeleta madhara gan kwa israel?

mfano jana usiku watu wa telaviv walikua wanajua makombora yameshatumwa yanakuja kwao na walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida yani.
Maneno mengi hayahitajiki,tunasubiri vitendo.
 
Nawakumbusha tu. Israel ameshapigana vita kama hizi kwa kuchangiwa na Arab States na akashinda vita zote. So hii si mpya kwake. Mfano vita ya Yom Kippur, alichangiwa na Arab States zaidi ya 8 na akashinda. Ni suala la muda tu.
Enzi hizo hakuna internet tunadanganywa tu. Mfano leo ukisikiliza vyombo vya habari makombora yote ya Iran yamekuwa intercepted ila ukienda X unakuta video live kabisa Irone dome inapishana na missile base za Israel zinachakazwa.

Haya ndo yale Yale ya Yom kipur 1973, Egpty kampiga Israel ndani ya siku kadhaa tu, ila propaganda sasa zilizofuatia.
 
Israel alijiona mwamba wa kufanya kila kitu anachotaka na hakutegemea Iran atalipa tu
Israel bila USA ni trash tu
Umeona waisrael waliokwapua ardhi na nyumba za wapalestina wanavyoikimbia Israel leo baada ya kufungua airspace kidogo tu
Wote wanapigana vikumbo airport
Vita ni vita tu ila kuna watoto hawajui bali ushabiki tu
Leo shelf zote supermarkets zipo tupu yaani drones tu
Kwa hali inavyoonekana ni dhahiri kuwa Israel hawezi kurudisha mashambulizi.....NI kwamba amekubali yaishe
 
Back
Top Bottom