LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Hapo kwa oil facilities, tunakuja kulipia kwa bei ya itakapofika elfu5
 
Kitu pekee ambacho Israel ataweza dhidi ya Irani,ni kumfatilia mtu moja moja na kumuua-hana uwezo wa kuishambulia Irani maana siku akifanya hivyo ndio itakuwa mwisho wake kwenye ramani ya Dunia.
Kamwe Israel haitafutwa na Iran kwenye ramani ya dunia.
 
Wayahudi walishamkataa Yesu na kwao si masihi!

Wao wana masihi wao wanamsubiria tofauti na Yesu ndiyo maana wapo kwenye hekaheka ya kujenga hekalu lao hapo kwenye msikiti wa Al Aqsa.

Ikiwa kama wamemkataa Yesu kama masihi wao watakuwa wanamsubiri masihi gani?
Dajjal.
 
Waisrael wanasema 86% Israel imefail vita vya Hamasi. Afu nyie huku watu wa 1=3 mnasema Israel kashinda vita. Vita sio kuvunja majumba na kufanya genocide vita nikupigana na hao Hamas sio majumba 😄 Afu hawa ndio wakamtishe Iran.

View: https://youtu.be/JSHQNUG_PVY?si=Os0WiOMkg7g5HUgW

Kama Ni kweli unayosema,mbona dunia haisemi huu upambavu na uongo wako??,mbona vyombo vya habari havisemi huu upambavu na uongo wako??
STUPID
 
Kwa mazingira yaliyopo ni suala la muda tu, Iran akiachwa maana yake Israel utaishi kwa shida sana, kila siku itakuwa inapigana na makundi ya kigaidi.
Ili apate amani hapo ni akubali taifa huru la Palestine.
 
Wayahudi walishamkataa Yesu na kwao si masihi!

Wao wana masihi wao wanamsubiria tofauti na Yesu ndiyo maana wapo kwenye hekaheka ya kujenga hekalu lao hapo kwenye msikiti wa Al Aqsa.

Ikiwa kama wamemkataa Yesu kama masihi wao watakuwa wanamsubiri masihi gani?
Hilo nalijua vizuri Kama wao ndio waliomkataa na kumsurubisha yesu kristo,na hii haindoi uharisia kuwa Jesus Christ is the Messiah

huyo masihi wanayemsubiria,Ni ujio wa pili wa yesu kristo,ndo wataamini kuwa Jesus Christ is the Messiah.
 
Kama Ni kweli unayosema,mbona dunia haisemi huu upambavu na uongo wako??,mbona vyombo vya habari havisemi huu upambavu na uongo wako??
STUPID
Si mimi nayo yasema hio ni habari ya TV za huko uarabuni ndio inaongea waulize wanao kifahamu kiarabu watakuambia. Hio ni channel ya Habari sio gazeti la udaku hi ni habari ya leo.
 
Hilo nalijua vizuri Kama wao ndio waliomkataa na kumsurubisha yesu kristo,na hii haindoi uharisia kuwa Jesus Christ is the Messiah

huyo masihi wanayemsubiria,Ni ujio wa pili wa yesu kristo,ndo wataamini kuwa Jesus Christ is the Messiah.
Nani kakuambia Yesu atarudi? Huyo harudi wacheni story bila dalili. Qur'an 19:34 ‘And peace was on me the day I was born, and peace there will be on me the day I shall die, and the day I shall be raised up to life again.’

Proof: There are only three episodes mentioned here for Jesus, namely, his birth, death, and life in the hereafter. If his physical ascent to heaven and physical descent from heaven were supposed to occur, they should have been mentioned here.

Bible says that “man is destined to die once, and after that to face judgment” (Hebrews 9:27).
 
Bandugu akuna icho kitu msiote mchana akuna wakubwa akuna konjera yyte ohh mala USA anataka kumruusu lkn asipige pale na pale yote mapicha picha tu elimikeni Iran wakubwa kidunia ktk technology vita ni technology kuwa na jesh kubwaaaa au bondia kuwa na mwiri mkubwaa ndio kupata ushindi embu ona tyson na Bruno kama mwili ndio nguvu saaii tyson tushazika[emoji38][emoji38] mywether ajawai pigwa japo anakamwili kadogo. Si kila kitu ni akili ndio muimu. Na vita ni technology ndio inashinda sio kuwa na jesh kubwaa maviuma viuma makubwa mimeri mindege kama ayana technology bola ya kisasa ayana nafasi yyte ayakupi ushindi sababu adi sasa Iran anaonekana m'babe ki technology zaid Western yote. Kwaiyo sijui amapewa ruusa wapi, iyo vita media tu uyo USA mwenyewe atii mguu Iran sasa mnataka atoe ruhusa ikiwa yeye uwezo ana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hiki ulichoandika nimeshindwa kukisoma.
Wakati ujao jitahidi kuhariri kabla ya kupost.
 
Kwa mazingira yaliyopo ni suala la muda tu, Iran akiachwa maana yake Israel utaishi kwa shida sana, kila siku itakuwa inapigana na makundi ya kigaidi.
Kwenye eneo hilo Israel hana ndugu wala rafiki ni suala la muda tu.
Kumbuka kabla ya Iran alipigana na Misri.
Mkataba wa kusitisha vita baina ya Misri na Israel umesababisha kuuwawa kwa rais Anwar Sadat.
Wamisri wamechukizwa na mkataba huo, bado wana hasira na Israel.
Saud Arabia na Jordan siyo walinzi wa kuaminika wa Israel maana lolote linaweza kutokea.
Maana hata Iran chini ya Shah Mohamed Reza Pahlav ilikuwa upande wa Israel lakini leo ni mahasimu.
Isreil itakuwa salama ikiwa itahamishiwa Bulgaria au Romania siyo hapo ilipo leo.
 
Bandugu akuna icho kitu msiote mchana akuna wakubwa akuna konjera yyte ohh mala USA anataka kumruusu lkn asipige pale na pale yote mapicha picha tu elimikeni Iran wakubwa kidunia ktk technology vita ni technology kuwa na jesh kubwaaaa au bondia kuwa na mwiri mkubwaa ndio kupata ushindi embu ona tyson na Bruno kama mwili ndio nguvu saaii tyson tushazika😆😆 mywether ajawai pigwa japo anakamwili kadogo. Si kila kitu ni akili ndio muimu. Na vita ni technology ndio inashinda sio kuwa na jesh kubwaa maviuma viuma makubwa mimeri mindege kama ayana technology bola ya kisasa ayana nafasi yyte ayakupi ushindi sababu adi sasa Iran anaonekana m'babe ki technology zaid Western yote. Kwaiyo sijui amapewa ruusa wapi, iyo vita media tu uyo USA mwenyewe atii mguu Iran sasa mnataka atoe ruhusa ikiwa yeye uwezo ana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Duhhh!

Kwa uandishi huu hata facebook wanakukataa
 
Si mimi nayo yasema hio ni habari ya TV za huko uarabuni ndio inaongea waulize wanao kifahamu kiarabu watakuambia. Hio ni channel ya Habari sio gazeti la udaku hi ni habari ya leo.
Hizo habari kwa Nini viripoti vyombo vya habari vya Iran tuu au vya kiarabu tuu,,kwa Nini wasiripoti piaBBC au Al Jazeera au CNN na zingine kubwa,Ni kwamba hizo habari wao haziwafikii au,, jaribu kufikilia vizuri.
 
Nani kakuambia Yesu atarudi? Huyo harudi wacheni story bila dalili. Qur'an 19:34 ‘And peace was on me the day I was born, and peace there will be on me the day I shall die, and the day I shall be raised up to life again.’

Proof: There are only three episodes mentioned here for Jesus, namely, his birth, death, and life in the hereafter. If his physical ascent to heaven and physical descent from heaven were supposed to occur, they should have been mentioned here.

Bible says that “man is destined to die once, and after that to face judgment” (Hebrews 9:27).
Bro Kama wewe unaamini Qur'an basi Mimi naamini BIBLIA TAKATIFU,na kulingana na biblia yesu atarudi kuuhukumu ulimwengu kwa wazima na wafu,,hio Ni Imani yangu,HIO Qur'an Mimi SII AMINI.
 
Wayahudi kwa gongo la mboto na wa iran wa buza uwanja ni wenu.
1728246233639.png
 
Back
Top Bottom