LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Story ya kwanza ilikuwa hawezi kuingiza Jeshi Gaza, kule ni hatari tupu, kaingiza na Hamasi wamepoteana vibaya. Tukaambiwa Hezbollah ni jeshi matata sana, Israel asilogwe aanze nao vita. Israel kaingia, ndani ya kupigo cha wiki, Hezbollah wameomba vita iishe na wako tayari kutimiza azimio la Umoja wa Mataifa lililowataka kuondoka mpakani na Israel. Kituo kinachofuata ni kwa wale wavaa madela na mawigi.
Resolution hio 1701 we unajua inasema nini? Israel asiguse Lebanon na hicho ndicho Hezbullah alikuwa anawambia Israel wasiwe wanasogeza ndege zao Lebanon kwa kuspy au kupiga piga maboom kitu ambacho Israel alikuwa akikipinga.

Hezbullah alisha ikubali hio resolution tokea 2006 aka pull out majeshi yake lakini Israel akawa anashambulia Lebanon, ndio akarudi sioni hapo kama resolution 1701 ina mdhuru Hezbullah hata Israel anatakiwa na yeye asiguse Lebanon.

Hio Resolution 1701 walitaka Hezbullah awe disarmed kitu ambacho alikikataa na hawezi kukikubali hata siku moja.

Hezbullah fahamu wazi amekubali sio kwa sababu ya israel eti anamtisha, ni serekali ya Lebanon ndio inawatia pressure kwa kuchochewa na US, Europe na nchi za kiarabu. Uzuri hapo Israel kila akikataa vita kusimamisha Hezbullah anawambia mnaona Israel target yake sio sisi ni Lebanon kwa ujumla 😄

Mimi na wapa Hezbullah 💯 wamekata mzizi wa fitna unao chochewa na US, Europe na baadhi nchi za kiarabu
 
Pamoja na mambo mengine, hiyo resolution inaitaka Hezbollah waondoe majeshi yake mpakani na Israel, na hii ndio sababu Hezbollah kasema kwa sasa yuko tayari kutekeleza hilo azimio.
 
Na nani anakuambia Hezbullah ataondoka hio ni kuwanyamazisha serekali ya Lebanon usidhani Hezbullah wajinga. Hezbullah anacheza siasa sababu US, Europe na Nchi za kiarabu zinaleta fitina huko Lebanon kuwa Israel hataki vita na Lebanon kama Hezbollah atawachana na issue ya Gaza. Kitu hicho Hezbullah akajua wanatafuta kufanya fitna kati ya vyama vya Lebanon, serekali ya Lebanon na Hezbullah na yeye akachezea nao wanavyo cheza kuwa hataki vita mwambieni Israel asimamishe vita, sa Israel ka fail hapo na US walitaka wa Lebanon wapigane vita wao kwa wao.
 
Hamas hawana kambi na IDF ni jeshi lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu sana wao sio wajinga mpaka waue wapelestina 42000 mpaka muda huu wanajitahidi sana kuepusha maafa ya raia ila ndio hivyo hao wapumbavu wa Hamas wanajificha ktkat Yao hivyo IDF wanaona hakuna namna .
IDF imeua mpk waandishi wa habari ,au na hapo magaidi walijificha nyuma ya waandishi
 
Story ya kwanza ilikuwa hawezi kuingiza Jeshi Gaza, kule ni hatari tupu, kaingiza na Hamasi wamepoteana vibaya. Tukaambiwa Hezbollah ni jeshi matata sana, Israel asilogwe aanze nao vita. Israel kaingia, ndani ya kupigo cha wiki, Hezbollah wameomba vita iishe na wako tayari kutimiza azimio la Umoja wa Mataifa lililowataka kuondoka mpakani na Israel. Kituo kinachofuata ni kwa wale wavaa madela na mawigi.
Acha papara huyu IDF mda c mrefu atazungukwa na atakosa pakutokea huko Lebanon
Scenario kama ya ukrain kuingia Kursk ndan ya Russia
 
Na nani anakuambia Hezbullah ataondoka hio ni kuwanyamazisha serekali ya Lebanon usidhani Hezbullah wajinga. Hezbullah anacheza siasa sababu US, Europe na Nchi za kiarabu zinaleta fitina huko Lebanon kuwa Israel hataki vita na Lebanon kama Hezbollah atawachana na issue ya Gaza. Kitu hicho Hezbullah akajua wanatafuta kufanya fitna kati ya vyama vya Lebanon, serekali ya Lebanon na Hezbullah na yeye akachezea nao wanavyo cheza kuwa hataki vita mwambieni Israel asimamishe vita, sa Israel ka fail hapo na US walitaka wa Lebanon wapigane vita wao kwa wao.
Haya ni mawazo yako
 
Haya ni mawazo yako
Haya tutaona kama Hezbullah atatekeleza hio resolution 1701 inataka mpa Hezbullah awe disarmed ibaki serekali ya Lebanon ndio pekee wenye silaha kasome vizuri, je Hezbullah kafanya vile mwanzo? na kwenye akili yako atafanya vile au unaota.
 
War ,war ,war dunia imekua ya ma vamp ,wanakunywa damu za watu na hawatosheki.
Stop this things ambazo zipo created kwa manufaa ya elites wachache huku wengi mkivishwa ushabiki kwenye kivuli cha utapeli unaoitwa dini.
 
Haya tutaona kama Hezbullah atatekeleza hio resolution 1701 inataka mpa Hezbullah awe disarmed ibaki serekali ya Lebanon ndio pekee wenye silaha kasome vizuri, je Hezbullah kafanya vile mwanzo? na kwenye akili yako atafanya vile au unaota.
Aliyesema anataka kuitekeleza ni Hezbollah na Serikali ya Lebanon. Israel hajasema chochote, ni kipigo tu hadi heshima ifuate mkondo wake.
 
Sawa karibu mtasikia US analazimisha vita visimame kwa kuwatumia wanafiki wake huko Lebanon, kwa sasa kawanyamazisha anadhani Israeli atashinda vita 😄

Ukisha ona serekali ya Lebanon wananza kulilia lia vita visimame ujuwe ni US na israel ndio wamewatuma na haswa wale kina Samir Jajah na chama chake wakianza kusema Hezbullah hivi na vile kwa sasa wako kimya mpa wakisikia Israel kazidiwa.
 
Tuache masihala hawa watu uwezo wa kupambana na Israel na washirika wake hakuna , unalipua hata ardhi haitikisiki

1728895394813.png

Kwenda zako huna ujualo hilo halikuwa bomu unavyofikiria iliyoshambulia hapo ndege zisizokuwa na rubani kitaalamu zinaitwa drones, hizo ndege ata vita ukraine na urusi ndio zimetaradad kwenye uwanja wa vita hadi sasa

Na kwa taarifa yako tu kwamba hizo drone hakuna mtambo ata mmoja wa kiyahudi ulio detect, systeam za wayahudi zilifeli kutambua kwa hiyo hayo ni mafanikio makubwa kwa hizbollah na upande huu.
 
Tuache masihala hawa watu uwezo wa kupambana na Israel na washirika wake hakuna , unalipua hata ardhi haitikisiki

Kwenda zako huna ujualo hilo halikuwa bomu unavyofikiria iliyoshambulia hapo ni ndege zisizokuwa na rubani kitaalamu zinaitwa drones, hizo ndege ata vita ukraine na urusi ndio zimetaradad kwenye uwanja wa vita hadi sasa

Na kwa taarifa yako tu kwamba hizo drone hakuna mtambo ata mmoja wa kiyahudi ulio detect, systeam za wayahudi zilifeli kutambua kwa hiyo hayo ni mafanikio makubwa kwa hizbollah na upande huu.

Taka kujua sasa ni nani mtaalamu wa hizo drones? ambazo hadi leo magharibi na US wanaumiza vichwa
 
Back
Top Bottom