Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Resolution hio 1701 we unajua inasema nini? Israel asiguse Lebanon na hicho ndicho Hezbullah alikuwa anawambia Israel wasiwe wanasogeza ndege zao Lebanon kwa kuspy au kupiga piga maboom kitu ambacho Israel alikuwa akikipinga.Story ya kwanza ilikuwa hawezi kuingiza Jeshi Gaza, kule ni hatari tupu, kaingiza na Hamasi wamepoteana vibaya. Tukaambiwa Hezbollah ni jeshi matata sana, Israel asilogwe aanze nao vita. Israel kaingia, ndani ya kupigo cha wiki, Hezbollah wameomba vita iishe na wako tayari kutimiza azimio la Umoja wa Mataifa lililowataka kuondoka mpakani na Israel. Kituo kinachofuata ni kwa wale wavaa madela na mawigi.
Hezbullah alisha ikubali hio resolution tokea 2006 aka pull out majeshi yake lakini Israel akawa anashambulia Lebanon, ndio akarudi sioni hapo kama resolution 1701 ina mdhuru Hezbullah hata Israel anatakiwa na yeye asiguse Lebanon.
Hio Resolution 1701 walitaka Hezbullah awe disarmed kitu ambacho alikikataa na hawezi kukikubali hata siku moja.
Hezbullah fahamu wazi amekubali sio kwa sababu ya israel eti anamtisha, ni serekali ya Lebanon ndio inawatia pressure kwa kuchochewa na US, Europe na nchi za kiarabu. Uzuri hapo Israel kila akikataa vita kusimamisha Hezbullah anawambia mnaona Israel target yake sio sisi ni Lebanon kwa ujumla 😄
Mimi na wapa Hezbullah 💯 wamekata mzizi wa fitna unao chochewa na US, Europe na baadhi nchi za kiarabu