Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mapokezi ya Tundu Lissu jimboni Mkalama na Singida Mjini

Aeleze atalimalizaje tatizo la ajira kwa vijana asikimbilie hoja nyepesi nyepesi!
Johnthebaptist.

Ungejipa muda wa kumsikiliza bila shaka ungepata jibu la swali lako.
Ameeleza kinagaubaga kwamba suala lajira haliwezi kutatuliwa na serikali peke yake. Hivyo atahakikisha atatengeneza mazingira rafiki kwa sekta binafsi ili kwa kushirikiana na serikali waweze kutatua tatizo la ajira.

Shida ninayoiona kwa washabiki wengi wa ccm mmejikita kwenye kubeza badala ya kusikiliza hoja.

Amechambua vizuri mambo ya bima ya afya, uboreshaji wa elimu na namna serikali yake itakavyoshughulikia mikopo ya elimu ya juu kwa wote wenye sifa na bila ubaguzi, makato yao uatapunguzwa kutoka 15% mpaka 3%

Amefafanua namna serikali za majimbo zitakavyofanyakazi, nk.

Tena anaongea kwa lugha laini na nyepesi kuielewa, sijui ni kwanini ccm supporters hamuelewi.
 
Kwahiyo ajira zitategemea zaidi sekta binafsi!
 
Mungu huinua watu wake
Hebu fikiria, Ccm walimpeleka Jpm nyumbani kwake Chato, baada ya kuona hata pokelewa wakatangukiza kikosi cha wana muziki ili kujaza vichwa.
Leo Lissu yuko Singida hakuna mdumange wala kwaya, ila watu wana kanyagana kumpokea shujaa. Mbeba maono. Watu ndani ya Ccm hamja ona tuu mlivyo kataliwa na jamii?? Hata Mungu hayuko upande wrnu
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
 
Tunasuburi updates za nguvu....tuko live na mabando kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…