Magu kakata tamaa kalala tena nyumbani.Kuna watu tunatoa sifa na matumaini kwa wagombea wetu mpaka wagombea wenyewe wanashangaa jinsi wanavyotumainishwa! All in all yote kheri, 28 Oct hiyoooo! Hii si kama show ya simba na yanga, Mara ratiba kubadilishwa, hii ni no matter what could happen, ratiba haibadilishwi! Na kakinglish nimetumia , hahahah!