Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mapokezi ya Tundu Lissu jimboni Mkalama na Singida Mjini

Mmefika wapii?
 
Ha haa haaa
 
Tundu kaamua kupiga hela za kampeni huku akijua hashindi

Mbona CCM mnateseka hivyo!

Kama hashindi kinachowauma ni kipi?Humu kwenye mitandao tu mnabaki wachache mnao mshabikia Jiwe!Sikiliza Kama Tundu Lissu siyo chochote kwenu acheni kupiga kampeni subirini kushinda!!Jiwe mpaka amepiga magotu kuomba kura,!Jiwe ametumia NEC kumhujumu Lissu!

Kwako Malaya wa kisiasa
 
Aeleze atalimalizaje tatizo la ajira kwa vijana asikimbilie hoja nyepesi nyepesi!
Lissu akifika la kwanza ni hili

1 Kutoa Elimu kwa yale yote wanaodanganywa na Jiwe( Hii inaitwa Spana )

2 Then kinachofuata ni nini kitafanyika ndani ya Serikali kwa KUFUATA ilani ya chama chake
 
Hata iweje CCM haina sababu ya kushindwa - lazima ishinde tena kwa kishindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…