Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mapokezi ya Tundu Lissu jimboni Mkalama na Singida Mjini

Et nn?hahaaaa
 
Karata ya mwisho ya CCM ni ndio wanayoitegemea kuiba kura basi maana hata polepole kipindi yupo kwenye tume ya Warioba alisema ccm bila kuiba kura haina ubavu wa kuishinda Chadema.
 
Mwaka huu Magu atatusamehe kwa kweli! Aliota kiburi mno mpaka akatuona raia sisi mapoyoyo! Ukiangalia ile clip anayowajibu watu wa Kagera kwenye tetemeko hutampenda hata kidogo! Lilipandwa ulimbukeni fulani hivi! Sasa leo imekuwaje alilie kupendwa?
 
Kwkweli magu kama sio ujinga wa watanzania na baadhi ya vigogo wanaokula kupitia yeye hakupaswa hata kufikisha miaka mitano madarakani. Hakufaa kwa lolote wala chochote.
 
Stress zinamtesa. He is guilty
 
Molemo video clip vipi?? Usituache hivi hivi aisee
 
Karata ya mwisho ya CCM ni ndio wanayoitegemea kuiba kura basi maana hata polepole kipindi yupo kwenye tume ya Warioba alisema ccm bila kuiba kura haina ubavu wa kuishinda Chadema.
Na mwaka huu mapolisi waanze kufanya mazoezi mapema,maana tunajua tume ina wapiga kura Eti milioni 29.watatuulia barabarani.
 
Tundu Lissu ni chuma cha pua. CCM watateseka sana mwaka huu. Chaguzi zilizopita walikuwa wanaiba kura za upinzani, safari hii hawana namna ya kuiba. Mkabidhini TL nchi mapema kabisa, acheni longolongo!
 
Tundu kaamua kupiga hela za kampeni huku akijua hashindi
Watu wamechoka na maCCM. Ukidhanicho ndicho sicho. Ushindi wa Tundu Lissu utakuwa kama huyu mama alivyopata umeya. Wewe endelea tu na dharau zako jiandae kukabidhi kijiti cha uongozi kwa TL.
 
Attachments

  • Uchaguzi wa Moto.mp4
    28.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…