Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mapokezi ya Tundu Lissu jimboni Mkalama na Singida Mjini

Kama hawezi kumaliza tatizo la ajira hafai!
Hali ya mabadiliko imeanza kujitokeza hata kabla ya uchaguzi.
Kwa mfano, mabandiko yako na wenzio wote humu JF yanaonyesha pumzi inakatika. Angalia kama hili uliloweka hapa!

Ni yupi bora.
Anayesababisha tatizo la ajira na kuliongeza zaidi au anayelishughulikia, na kulipunguza hata kama hakulimaliza kabisa; kwani inajulikana tatizo la ajira haliwezi kumalizwa kabisa, lakini linaweza kuzuiwa kuongezeka na kulipunguza.

Huyo unayemshabikia hapa kila siku kazi yake kubwa ni kuongeza tatizo la ajira. Miaka yote mitano kaliongeza. Itakuwa ni wenda wazimu kumwongezea mitano tena ili azidishe tatizo.
 
Magu kakata tamaa kalala tena nyumbani.

Jiwe kwishne....!!naona keshaishiwa pumzi kabsaaaaa!
Kilichobakia ni kualika Marais wa nje ili azitumie kupiga Kampeni kiujanjajanja!!
Kesho nasikia amewaalika Barrick kumpa Tshs 100B lakini Ni hewa tupu. Anachotaka ni kutumia Kama mtaji wa Kampeni za CCM!!
Mtu mzima Hovyooo!!!!!!!
 
Nazo hazitomsaidia chochote. Kama JK kashindwa kumsaidia anayejulikana na mwenye influence hao wengine anapoteza muda tu.
 
Magufuli asicheze na Watz, safari hii wanakwenda kumshikisha adabu!
Watu Wana uchungu mioyoni kwa dhuluma ya miaka 5 ya kubanwa pumzi kwa kunyimwa Uhuru wa kuongea, Uhuru wa kukusanyika, uhuru wa kuandamana, uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa, Uhuru wa kupanga mipango yao ya Maendeleo, Uhuru wa kupata Ajira baada ya kufuzu Vyuo Vikuu na Kati, uhuru wa kufanya Biashara, Uhuru wa kuabudu, Uhuru wa Kimahakama, Uhuru wa Kibunge, Uhuru wa kijinsia.......etc,etc!!!
Uhuru wa yote haya umepotea ndani ya kipindi Cha miaka 5 tu.....!!!
Kama Watz watakosea tarehe 28.10.20 kumrudisha Ikulu huyu Jiwe anakwenda kuua kabisa DEMOKRASIA, Uhuru na Utu wa Mtanzania.
Say NEVER AND NEVER AGAIN TO THE STONE "JIWE"!!!
 
Amebaki namatumaini kwenye jeshi tu. Basi.
 
Back
Top Bottom