Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Kuwachukia wanaokuzidi hakukupi nafasi ya kuwazidi
Wakina nani nawachukia . Chadema muache ukanda Yani mnazingua sana. Ikiwezekana na nyie Muunge mkono juhudi tu mana hatuwezi pata mabadiliko kupitia siasa zenu Mbovu.
 
Afadhali washinde wanawake,wanaume hawakawii kujiuza/kuuza ushindi wao kwa chama chakavu
Ngoja tuone maajabu haya wengine hatuna.chama,ila nahisi.kitu Fulani,wanaume wa Dar na Chadema jitafakarini
 
Kura za maoni ni mchakato wa kidemokrasia , yeyote aweza kuteuliwa kati ya wawili wa juu , Mrema kutokana na kubanwa na majukumu ya Makao Makuu hakupata hata uchochoro wa kupiga kampeni , inashangaza hata hizo kura amepataje .
?????????
 
Hili ni jimbo la tatu sasa John Mrema anagombea anaishia kupigwa chini kwenye mchujo wa ndani tu.

2010 alikuwa Musoma huko sijui jimbo gani akapigwa chini

2015 nafikiri aligombea napo akapigwa chini.

2020 kapigwa chini na mwanamama so sad.

Abaki tu kuwa mtendaji ndani ya Chama.
 
Kura za maoni ni mchakato wa kidemokrasia , yeyote aweza kuteuliwa kati ya wawili wa juu , Mrema kutokana na kubanwa na majukumu ya Makao Makuu hakupata hata uchochoro wa kupiga kampeni , inashangaza hata hizo kura amepataje .
Sasa mtu kama huyo akishinda nafasi ya ubunge ataweza kuwatumikia wananchi anawaakilisha kweli?
 
Susan Lyimo ameshinda katika Kura za Maoni za kumteua mgombea wa Chadema Jimbo la Kinondoni. Amepata kura 71 kati ya 113. Sawa na asilimia 62.8. Amewashinda Moza Ally (Makamo Mwenyekiti Bavicha), Rose Moshi diwani Viti Maalum na Mbezi Mwombeki
Pepo umetumwa? Rudi Lumumba, usije kututia najisi chama Safi Chadema
 
View attachment 1506003

Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Wanachama wengi wa Chadema wanawaamini wakina mama kutokana na msimamo wao thabiti wa kutetea chama chao, inaaminika wanaume wengi wanajiuza kwa bei chee.

Mifano ni mingi, James Millya, Joshua Nassari na Mwita Waitara wanawakilisha mamia ya waliojiuza.
Huo ndiyo ukweli,natamani asilimia 60 ya wagombea wa ubunge kupitia Chadema wawe wanawake.Wanaume wameonyesha udhaifu mkubwa na hawapaswi kuaminiwa au kupewa nafasi kubwa.Wamekuwa na siasa za kimalaya malaya.
 
Back
Top Bottom