Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Huu uzi utawatokea puani ma analyst tunasubiri kupata data kisha tutawaambia uwezo wenu kabla ya Oktoba labda muufute au mu u discontinue...

Tafadhali wanaCCM walio na connection za kura za maoni majimboni anzisheni uzi tuwape majibu kabla ya kipimo...
CCM itategemea mwenyekiti kaamkaje siku hiyo
 
Sheikh PONDA aje awakague hawa CHADEMA, yani hawajamchagua MUISLAMU hata mmoja?
Na hao ni wakristo ?
IMG-20200714-WA0002.jpg
IMG-20200714-WA0005.jpg
 
Huo ndiyo ukweli,natamani asilimia 60 ya wagombea wa ubunge kupitia Chadema wawe wanawake.Wanaume wameonyesha udhaifu mkubwa na hawapaswi kuaminiwa au kupewa nafasi kubwa.Wamekuwa na siasa za kimalaya malaya.
Kwakweli tena kipindi hiki naona wameibuka wanawake wenye upeo mkubwa,wenye misimamo mikali na watiifu kwa chama,sikutegemea kama wangeibuka wanawake wenye nguvu kisiasa kiasi hiki aiceeee!! Kwa hali hii ssm ilipoteza hela na nguvu yao bule kununua na kulubuni wapinzani
 
Mkuu kuna mahali kuna mfumo dume kama mkoa wa Mara?
Lakini sasa hivi wamebadilika na kuwajua wanawake mashujaa, ndio maana Bulaya na Matiko walikubalika.
Ila hawa WANAUME MALAYA wanatuondolea kuaminika kabisa hata katika familia. Nasikia kuna familia wanaume wanaambiwa "umekuwa kama Shilinde au Waitara" au pia wanaambiwa "unatuletea tabia za Nassari huoni aibu?"View attachment 1506106
Ila CCM ni noma sana aisee wameona wawaweke sehemu 1 malaya wa kisiasa (according to Nyerere)-kalist,Silinde&Nasari.
 
Walilalamika Serikalini ni asilimia 20 kwa Waislamu na 80 kwa Wakristo, kwa sasa Chadema ni asilimia ngapi kwa ngapi kati ya Wakristo na Waislamu?
Kama hawajitokezi kuchukua form utawalaumu CHADEMA kwa kutokuwapa nafasi ?
 
Back
Top Bottom