Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

CCM itategemea mwenyekiti kaamkaje siku hiyo
 
Huo ndiyo ukweli,natamani asilimia 60 ya wagombea wa ubunge kupitia Chadema wawe wanawake.Wanaume wameonyesha udhaifu mkubwa na hawapaswi kuaminiwa au kupewa nafasi kubwa.Wamekuwa na siasa za kimalaya malaya.
Kwakweli tena kipindi hiki naona wameibuka wanawake wenye upeo mkubwa,wenye misimamo mikali na watiifu kwa chama,sikutegemea kama wangeibuka wanawake wenye nguvu kisiasa kiasi hiki aiceeee!! Kwa hali hii ssm ilipoteza hela na nguvu yao bule kununua na kulubuni wapinzani
 
Ila CCM ni noma sana aisee wameona wawaweke sehemu 1 malaya wa kisiasa (according to Nyerere)-kalist,Silinde&Nasari.
 
Walilalamika Serikalini ni asilimia 20 kwa Waislamu na 80 kwa Wakristo, kwa sasa Chadema ni asilimia ngapi kwa ngapi kati ya Wakristo na Waislamu?
Kama hawajitokezi kuchukua form utawalaumu CHADEMA kwa kutokuwapa nafasi ?
 
Mleteni mzee wenu tumtumbue tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…