Ben Bella
JF-Expert Member
- Dec 3, 2019
- 529
- 1,858
Hata nami nimeshangaa kuona Magufuli amechukua fomu peke yake. Demokrasia huko CCM imewekwa kapuni?Nimeshangaa kuona wagombea ubunge kupitia Chadema zaidi ya watano wakiwa wamepitishwa kwa kura za "NDIO" bila uwepo wa wagombea shindani.
Je hii ndio demokrasia ndani ya Chama kinachojiita cha demokrasia??
POVU RUKSA