ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Wenje ni kifaa, na atashinda Ryora!
Rorya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenje ni kifaa, na atashinda Ryora!
Wenje✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅Twende na wenje huyo owawa arudi zake hapa comfort hotel ..mwanza
Kusambaza ofa za bia
Duh naona comments zinafyekwa tuu... huu uzi ulifikisha comments 50 huko sasa zimebaki 17
Wenje anatokea kata ganiNiliandika Mara mbili hapa JF kwamba Wenje akagombee Rorya ,sikujua kama alikuwa na nia hiyo ila naona akishinda kwa kishindo kikubwa labda aibiwe kura. Siasa ni sayansi na kwa mwaka huu hii sayansi inaibeba chadema. Ili Wenje apate upinzani mkubwa itabidi ccm nao wamtoe mgombea wao Tarafa ya NYANCHA.
Kuna sababu nyingi sana za watu wa Nyancha kumpigia Wenje kura bila kuangalia chama chake. Kwanza migogoro iliyotokana na kujengwa kwa halmashauri Ingri Juu badala ya shirati. Ukosefu mkubwa wa maji shirati na maeneo yote kando ya ziwa Victoria , Wabunge wa vipindi 4 sawa na miaka 20 wote wametokea Girango tena Utegi. Kwa Rorya Wenje atashinda labda ccm watoe mgombea wao huko ziwani.
Wenje sijui hasa anatokea kata gani au Kijiji gani ila majina ya akina Wenje yako sana shirati maeneo ya Michire kule ziwani kabisa mpanga huku Masonga. Kwahiyo atakuwa anatokea shirati ukanda wa ziwa kuanzia Michire kuelekea MasongaWenje anatokea kata gani
Asante proof reader usiyelipwa!Rorya!
OkWenje sijui hasa anatokea kata gani au Kijiji gani ila majina ya akina Wenje yako sana shirati maeneo ya Michire kule ziwani kabisa mpanga huku Masonga. Kwahiyo atakuwa anatokea shirati ukanda wa ziwa kuanzia Michire kuelekea Masonga
Ukabila uko ccm kama unabisha muulizen babayenu mnayembinukia makalio kila akiwabinua mnasema ndioUKABILA UKABILA UKABILA
Labda Lumumba buku 7 ndo hawatoboi.Hakuna hata mmoja hapo atakaetoboa kwenye uchaguzi mkuu, yesu hataki kuwaona na anao watendaji wake aliowapa hyo kazi ya kuhakikisha hamukanyagi mjengon
Wanaume wa CHADEMA wadhaifu sanawanawake wamechachamaa chadema wanabwaga wanaume kila kona
Hapo ni Ukabila kwelikweli mbona wanaona aibu Kutangaza za Majimbo ya Kakonko, Biharamulo, Muhambwe, Kigoma Mjini, Kigoma Kaskazini na Kusini.UKABILA UKABILA UKABILA
Tuache utani CHADEMA kunà warembo!!!Picha namatokeo vinahusiana vipi?
Hapo ni Ukabila kwelikweli mbona wanaona aibu Kutangaza za Majimbo ya Kakonko, Biharamulo, Muhambwe, Kigoma Mjini, Kigoma Kaskazini na Kusini.
Sababu: Wagombea kwa Upande wa Chadema wanaona aibu kugombea kutokana na kutoona pa Kupinga.
Kwa Jimbo la Kigoma Mjini walikuwa wanamlazimisha Mtu agombee lakini naye amegoma ili kukinusuru Chama imebidi Katibu wa Chadema anaitwa Mangu kuamua Kugombea Mwenyewe ili kuficha aibu ya Chadema kisije kikaonekana hakipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣