Hata nami nimeshangaa kuona Magufuli amechukua fomu peke yake. Demokrasia huko CCM imewekwa kapuni?Nimeshangaa kuona wagombea ubunge kupitia Chadema zaidi ya watano wakiwa wamepitishwa kwa kura za "NDIO" bila uwepo wa wagombea shindani.
Je hii ndio demokrasia ndani ya Chama kinachojiita cha demokrasia??
POVU RUKSA
Ahaaaa. Kila mtanzania ana imani na Ccm. Nani agombee kupitia Chadema wakati chama kimechafuka kimekuwa kama nuksi kwenye jamii ya Tanzania.Nimeshangaa kuona wagombea ubunge kupitia Chadema zaidi ya watano wakiwa wamepitishwa kwa kura za "NDIO" bila uwepo wa wagombea shindani.
Je hii ndio demokrasia ndani ya Chama kinachojiita cha demokrasia??
POVU RUKSA
Nadhani inatokana na uchanga wa chama chenyewe lakini bado tuipongeze kwa kusimamisha wagombea nchi nzima.Nimeshangaa kuona wagombea ubunge kupitia Chadema zaidi ya watano wakiwa wamepitishwa kwa kura za "NDIO" bila uwepo wa wagombea shindani.
Je hii ndio demokrasia ndani ya Chama kinachojiita cha demokrasia??
POVU RUKSA
Hivi Makonda hagombei Kigamboni?Bashite naye naona kaufyata
Assume CCM hakuna Demokrasia halafu tuendelee na mjadalaHata nami nimeshangaa kuona Magufuli amechukua fomu peke yake. Demokrasia huko CCM imewekwa kapuni?
Kwa hiyo mmeiga?Yule aliyempigia mkwara Bashiru asichapishe form zaidi ya moja kwenye nafasi yake sio dictator?
Vipi yule aliyetaka kumuua Lisu kisa Lisu alikubalika na wananchi kuliko yeye sio dictator?.
Vipi umesahau jinsi wale wabunge waliounga juhudi hewa za utekaji walivyopita bila kupingwa ndani ya CCM?
Kwa kuwa hawa ni wakina mama, nawastahi
Wewe ni mwanachama wa CHADEMA?Kwa hiyo mmeiga?
Ata CCM magufuli hatukuona mpinzani wake.Nimeshangaa kuona wagombea ubunge kupitia Chadema zaidi ya watano wakiwa wamepitishwa kwa kura za "NDIO" bila uwepo wa wagombea shindani.
Je hii ndio demokrasia ndani ya Chama kinachojiita cha demokrasia??
POVU RUKSA
Assume na CHADEMA hakuna demokrasia alafu kahudumie ndoa mmeo anakupendaAssume CCM hakuna Demokrasia halafu tuendelee na mjadala
Mami umechukulia wapi fomu ?.Ahaaaa. Kila mtanzania ana imani na Ccm. Nani agombee kupitia Chadema wakati chama kimechafuka kimekuwa kama nuksi kwenye jamii ya Tanzania.
Back to topic!Assume na CHADEMA hakuna demokrasia alafu kahudumie ndoa mmeo anakupenda
Hata nami nimeshangaa kuona Magufuli amechukua fomu peke yake. Demokrasia huko CCM imewekwa kapuni?
Nafuatilia demokrasia ndani ya Chama!Mambo ya Chadema yanakuhusu nini!
Ova
Ahaaaa. Jaduong tulia huu mwaka ni balaa. Mimi sigombei kiti chochote.Mami umechukulia wapi fomu ?.
Mbona unajihami mapema kakaNimeshangaa kuona wagombea ubunge kupitia Chadema zaidi ya watano wakiwa wamepitishwa kwa kura za "NDIO" bila uwepo wa wagombea shindani.
Je hii ndio demokrasia ndani ya chama kinachojiita cha demokrasia??
POVU RUKSA
Kama mawazo, tamko, agizo la mtu mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]Nafuatilia demokrasia ndani ya Chama!
ha ha ha