Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Mshindi , Jimbo kwenye mabano.. mabaharia msije anza sumbua.

Chadema ikichukia nchi hili ndilo vazi la taifa[emoji1]View attachment 1511532
Hivi n vigezo gani cdm mmevitumia kumuondoa huyu Dada Rose kugombea ubunge njombe mjini,,,huyu Dada anaushawishi mkubwa mno na anakubalika sana na wananchi wa njombe mjini,, kama angegombea njombe mjini alikuwa ananipataa mapemaa tenaa kwa kura nyingii sanaa..
 
MATOKEO KURA ZA MAONI JIMBO LA NJOMBE MJINI

Wagombea :

1. EMANUEL MASONGA 78 ~67.8%
2. ROSE MAYEMBA 26 ~22.6%
3. LUCIA MLOWE 11 ~9.5%
4 . MARIETH MWALONGO 0 ~0%

Viti Maalumu :

1. SIGRADA MLIGO 28 ~ 82.3%
2. ROSE MAYEMBA 3 ~ 8.8%
3. LUCIA MLOWE 2 ~5.8
4. EINOTH LAIZER 1 ~2.9%
5. MARIETH MWALONGO 0 ~0%

Msimamizi.
Leonce Marto
2020/16/07

MATOKEO YA KURA YA MAONI - JIMBO LA ROMBO

A: Ubunge (Jimbo)
1. HUGHO S. KIMARYO = 22 = 8.9%

2. PATRICK J. ASENGA = 221 = 89.8%

JUMLA = 243

B. Ubunge (VM)
1. BEATRICE K GERALD = 39 = 52%

JUMLA = 75

MATOKEO YA KURA YA MAONI - JIMBO LA ROMBO

A: Ubunge (Jimbo)
1. HUGHO S. KIMARYO = 22 = 8.9%

2. PATRICK J. ASENGA = 221 = 89.8%

JUMLA = 243

B. Ubunge (VM)
1. BEATRICE K GERALD = 39 = 52%

JUMLA = 75

Jimbo la Mikumi

Joseph Haule.

Idadi ya waliosajiliwa 147
Waliopiga kura 137

Ndiyo 137
Hapana 0

Barnabasi Okola.

Msimaizi wa Uchaguzi

MATOKEO JIMBO LA IGUNGA

Anna Nyarobi kura 45

Vincent Kamanga Kura 29

Francis Nyamiti Kura 04

Sauti ya Igunga-Tabora

MATOKEO YA UCHAGUZI KURA ZA MAONI JIMBO LA LINDI MJINI.

Mgombea alikuwa mmoja HEMED ALI ,
Mgombea mwenza mhe. SALUM KHALFANI BARUAN alijitoa.

Kura zilizopigwa 87
Kura halali 82
Kura zilizoharibika 5
Kura za hapana 3
Kura za ndio 79 sawa na asilimia 96.3%

MATOKEO JIMBO LA KAHAMA MJINI

Thadeus Mwati 54=37%

Juma Ntahimpera 49=34%

Bukango Bukango 41=28.4%

Matokeo Jimbo La Ushetu

Mgombea Alikuwa Mmoja

Emmanuel Magema Kura za Ndiyo 86

Hapana Kura 01

Matokeo kura za maoni Nyamagana

1. John J. Pambalu 67=40.6%

2. Seleman A. Khalid 44=26.7%

3. Charles M. Chichibela 19=11.5%

4. Patrick Masagati 16=9.7%

5. Mwakihaba M. Alinane 15=9.1%

6. Jemima O. Abwao 3=1.8%

7. Jackline R. Kisanga 1=0.6%
View attachment 1509678
Asante sana Chadema kwa kazi nzuri kumbr mko kimya huku mnapiga kazi nzuri kiasi hiki👏👏👏
 
Halafu mbona wanawake wanashinda sana kura za maoni hapo Dar kwa CHADEMA, naona kwa leo tu kuna Agness Lambart ameshinda Segerea, Susan Lymo Kinondoni, na Lucy Magereri huko kigamboni, bado hatujaongelea kawe ambapo mdee lazima atachukua, kuna ukonga alishindaga Asia Msangi dhidi ya Waitara na najua hata this time atashinda. Wanaume wa Dar wa CHADEMA mnakwama wapi?
Hawa hawananunuliki na ccm.
 
MDEE EFFECT!
 
Hata Freeman mbowe anapaswa kupigwa chini tu hana lolote la maana
Kwanza siku zote wewe ni negativity kwa Mbowe, tena sio member wa CDM, ushauri wa kumpiga chini utatusaidia nini sisi kama sio kutudidimiza??
Kashikashi alizokutana nazo Mbowe mtu mwingine angeziweza??
Mbowe ni dume pamoja na vijembe vyenu yuko kimya!!
Kama wewe ni member yafaa umshukuru ni Capt bora kabisa wa CDM, hajaachia usukani.
Hongera Kamanda Mbowe safari ya ukombozi bado inaendelea!!
 
Wana Dar es Salam muwe makini na huyu jamaa kwasasa hana kazi yeyote.Isije mkasema sijawakumbusha wekeni vitu vyenu vizuri.Anaweza akajiajili kwenye kazi hatarishi ilimradi mkono uende kinywani.
 
Back
Top Bottom