Gia kubwa
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 470
- 495
mkuu mimi mmoja natosha kuwasambaratisha chadema wote!! ubongo wangu ni special!! wewe tu ndo hunijui!! hebu ona hapa mko wangapi mnajibu hoja zangu mimi mmoja tena kwa kejeli bila hoja!! nani kakwambia nalipwa? sihitaji pesa ya chama mimi mzalendo tu nasi wazalendo tunataka wahuni kina DJ Makengeza waache kuhadaa watu warudi night club!!Oops kumbe lengo ni malipo, basi jitahidi uwe unatumia ubongo... kama unao.
kinachofanya wana saccoss mchukie ni kuwa nawapa za uso kwa kuwaambia ukweli mchungu kuhusu mkubwa wenu Dj Makengeza who has no value to political activists like me, myself and I!!