Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Mshindi , Jimbo kwenye mabano.. mabaharia msije anza sumbua.

Chadema ikichukia nchi hili ndilo vazi la taifa[emoji1]View attachment 1511532
Hivi n vigezo gani cdm mmevitumia kumuondoa huyu Dada Rose kugombea ubunge njombe mjini,,,huyu Dada anaushawishi mkubwa mno na anakubalika sana na wananchi wa njombe mjini,, kama angegombea njombe mjini alikuwa ananipataa mapemaa tenaa kwa kura nyingii sanaa..
 
Asante sana Chadema kwa kazi nzuri kumbr mko kimya huku mnapiga kazi nzuri kiasi hiki👏👏👏
 
Hawa hawananunuliki na ccm.
 

MDEE EFFECT!
 
Hata Freeman mbowe anapaswa kupigwa chini tu hana lolote la maana
Kwanza siku zote wewe ni negativity kwa Mbowe, tena sio member wa CDM, ushauri wa kumpiga chini utatusaidia nini sisi kama sio kutudidimiza??
Kashikashi alizokutana nazo Mbowe mtu mwingine angeziweza??
Mbowe ni dume pamoja na vijembe vyenu yuko kimya!!
Kama wewe ni member yafaa umshukuru ni Capt bora kabisa wa CDM, hajaachia usukani.
Hongera Kamanda Mbowe safari ya ukombozi bado inaendelea!!
 
Wana Dar es Salam muwe makini na huyu jamaa kwasasa hana kazi yeyote.Isije mkasema sijawakumbusha wekeni vitu vyenu vizuri.Anaweza akajiajili kwenye kazi hatarishi ilimradi mkono uende kinywani.
 
Jamen naombeni kujua mzee kapuya vipiiiii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…