Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Baki chama kubwa tulisongesheAkipita Mboe najiunga ACT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baki chama kubwa tulisongesheAkipita Mboe najiunga ACT.
Milango ya kujifunza waliifungia pale DodomaUchaguzi umeisha sasa tunaungana wote kujenga chama. CCM jifunzeni hapa
ndo maana mama abduli alishtuka akatoa fomu moja tu! Wajumbe si wema!Usiamini wajumbe,wajumbe wanaweza kukuomba ugombee ili wakunyime kura
ccm hawana huo ujasiri... kifupi wamesababisha maisha ya ufisadi, usanii na ujanja ujanja yaonekane ndo dili nchini Tanzania.Uchaguzi umeisha sasa tunaungana wote kujenga chama. CCM jifunzeni hapa
Fikiria ujanja ujanja ulitumika kumpata mgombea urais 2025.ccm hawana huo ujasiri... kifupi wamesababisha maisha ya ufisadi, usanii na ujanja ujanja yaonekane ndo dili nchini Tanzania.
Ukiachana na ubashiri wako uchwara wewe unapendekeza nani awe mgombea urais?Sasa ni wakati wakuondoa tofauti zetu na kukijenga vyema chama,kwa jinsi CDM wanavobadili wagombea uraisi,uenda mwaka huu wakampendekeza heche,nabashiri tu jamani.
Hatari sana ndugu... maisha ya misheni town hadi wakasahau vifungu vya katibaFikiria ujanja ujanja ulitumika kumpata mgombea urais 2025.
tuondoe tofauti zetu namkaribisha yeriko nyerere aendelee kuwa mstari wa mbele kabisaUchaguzi umeisha sasa tunaungana wote kujenga chama. CCM jifunzeni hapa
sana tena mapema,msigwa mwenyewe yuko njiani katanguliza begiKwahyo kuna nyumbu zitatoka ccm kurudi TENA CDM...
NaamUchaguzi umeisha sasa tunaungana wote kujenga chama. CCM jifunzeni hapa
We Mbowe hajastaafu, amestaafishwaKwa ustawi wa demokrasia yetu nchini Mungu ibariki CHADEMA, na Mwenyekiti mpya mteule Tundu Antipas Lissu, pia usimsahau Mwenyekiti mstaafu wa kukumbukwa muda wote Freeman Aikael Mbowe.
ndo maana mama abduli alishtuka akatoa fomu moja tu! Wajumbe si wema!
Nabii wa siasa nchini Godbless Jonathan Lema amemsaliti kaka yake Mbowe kwa maslahi ya demokrasia ndani ya Chadema abarikiwe sana.Nipo na chadema nipo na lema