Sasa mbona Israel wanashambulia majengo ? Au wanataka tu kuwakomoa Wapalestina ?Mkuu Hamas sio wapuuzi kiasi hicho kuhifadhi silaha kwenye majengo hali ya kuwa wanajuwa Israel atayashambulia majengo hayo hamas silaha watakuwa wana ficha kwenye mahandaki.
Hata wasingekuwa na mkataba, kuna sababu kwanini Egypt hawawazi kuipigania Palestina.
Vita vya mtaa kwa mtaa ni ngumu sana, maana hujui adui wako amejificha wapi, na ni vita inayochosha sana. Marekani iliwasumbua sana walipoivamia IraqIsraeli ilipigana na Hezbollah mwaka 2006 sidhani kama ulifuatilia na hakupatikana mshindi.
Israeli hawezi kupigana vita ya ardhini ya mtaa kwa mtaa.
Ndo maana sasa hivi wameita wanajeshi 300,000 ili kuwe na mauaji ya kutisha kwa wapalestina.
Ndo maana ni lazima atumie ndege za F-16 kupiga mabomu makali na sasa hivi Israeli imeshutumiwa kutumia mabomu ya Phosphorus ambayo yamepigwa marufuku.
Lengo la Israeli kutumia mabomu hayo ni kutaka kufumua njia za chini kwa chini.
Marekani walisumbuliwa sana na wapiganaji wa Iraq pale Fallujah au Battle of Fallujah.Vita vya mtaa kwa mtaa ni ngumu sana, maana hujui adui wako amejificha wapi, na ni vita inayochosha sana. Marekani iliwasumbua sana walipoivamia Iraq
Kufanikiwa kwa US pia ni kwa sababu Jews wengi sana wapo US na ndo matajiri wakubwa wakiwa wameshika sekta zote nyeti mfano fedha, teknolojia ya silaha, teknolojia ya habari, siasa oil & gas n.k so obvious fedha watakayopeleka Israel ni nyingi pia na ndiyo maana siyo rahisi eti ukasikia US akiilaani Israel maana US inaamini katika neno la biblia "nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani"; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa na of course matokeo ya kutekeleza mstari huu kimatendo yako wazi sanaaa kwa US ndiyo maana US ipo hapo ilipo leo kiuchumi na kiteknolojia, uimara wa kijeshi, vyuo bora vya elimu ya juu n.k.Ni kweli US anagharamia mno ulinzi wa Israel, dola billion 3 kila mwaka ($3bn).
US anajaribu kuzuia huo mzozo usisambae zaidi na kuwa Vita ya kikanda.
Wanasema wataweza sbb Wana mateka wao🤣Hilo taifa walishalishindwa tangu 1967 wakati huo walipoitana nchi zaidi ya sita kumwangukia Israel wakatandikwa.
Marekani ina makubaliano na Israel kuongezewa ammo stockpile ikiwa vitani. Makubaliano hayo pia wanayo South Korea na nahisi hata Taiwan wanayo.Sio kwamba hiyo Ford inaenda kuisaidia Israel kuzuia silaha kuingia Gaza ?...
Usishangae wakashiriki kwenye kusaidia offensive dhidi ya Gaza kama itafanywa maana raia wao baadhi wametekwa na wengine wameuawa.
isitoshe Biden anajaribu kujijenga kisiasa maana ana uchaguzi mbeleni na republic wanamtupia lawama kwa hili tukio........hivyo atafanya hayo kuiridhisha Israel na wapiga kura wake
... isitoshe Israel imeshapewa baadhi ya silaha na ammunition kutoka US kwa ajili ya uvamizi wa Gaza.
'Planes have already taken off': U.S. sends Israel air defense, munitions after Hamas attack
The country's urgent requests will test America’s industrial base — and Congress.www.google.com
Sasa mbona Israel wanashambulia majengo ? Au wanataka tu kkuwakomo
Vita ya mtaa kwa mtaa naona ni ya kizamani mnoo.Vita vya mtaa kwa mtaa ni ngumu sana, maana hujui adui wako amejificha wapi, na ni vita inayochosha sana. Marekani iliwasumbua sana walipoivamia Iraq
Christian Evangelicals ndio wanaoipa support kubwa Israel ndani ya US kuliko hao Wayahudi unaowataja.Kufanikiwa kwa US pia ni kwa sababu Jews wengi sana wapo US na ndo matajiri wakubwa wakiwa wameshika sekta zote nyeti mfano fedha, teknolojia ya silaha, teknolojia ya habari, siasa oil & gas n.k so obvious fedha watakayopeleka Israel ni nyingi pia na ndiyo maana siyo rahisi eti ukasikia US akiilaani Israel maana US inaamini katika neno la biblia "nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani"; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa na of course matokeo ya kutekeleza mstari huu kimatendo yako wazi sanaaa kwa US ndiyo maana US ipo hapo ilipo leo kiuchumi na kiteknolojia, uimara wa kijeshi, vyuo bora vya elimu ya juu n.k.
Mi nimeambiwa hapa muongoMission zimegonga mwamba, wajamaa wanasema hata wakiua wote won't make anything better kichapo kipo pale pale mpaka wote wageuke vifusi.
Mkuu nafikili wanatafuta uraisi wakianza offensive.Wanashambulia zaidi majengo yanayohifadhi silaha, nyumba za viongozi wa Hamas na miundombinu mingine tu Hamas na Islamic jihad tena baada ya kuwa na intelligence kuhusu kina nani wapo humo.
Hamas wametishia kuua mateka mashambulizi yakiendelea zaidi dhidi ya raia wao.
Hamas says will kill hostages if Israeli attacks on Gaza civilians continue
Human Rights Watch terms Israeli Defence Minister Yoav Gallant’s call for a ‘complete siege’ on Gaza a ‘war crime’.www.google.com
Unajidanganya sana bwana mdogo hitoria/nature huwa haidanganyi hata siku moja. KAMA HAKUNA HAKI, BASI AMANI HAIWEZI KUPATIKANAHilo taifa walishalishindwa tangu 1967 wakati huo walipoitana nchi zaidi ya sita kumwangukia Israel wakatandikwa.
Kwahyo chanzo ni niniKuhusu rwanda genocide
1. Kuna chuki za mda mrefu kati ya hutu na tutsi.
2. Kuna kilicho trigger genocide 1994.
Ni vitu viwili tofauti.
Yani mpk hapo hujaelewa.😂😂😂😂Kwa
Kwahyo chanzo ni nini
Lakini mwisho wa siku watafurushwa tu
View: https://youtu.be/pYuptYxX3oM?si=j9quyQ7aKG5z9KzY
Hamasi bado wanawapeleka waisrael moto leo hio afu Israel anasema kawafurusha 😂
Yani mkuu ndo wale wanaosema North Korea inauwezo wa kupigana na USA?Israeli hawawezi kupigana na Iran peke yao.
Don't mind, moto wanaopelekewa Hamas pale Gaza lazima uwachanganye akili wapalestina wa buza. Hawa watu wakiua wenzao wanasema Allah Akbar, wakiuliwa hawataji hilo jina kabisa 😀😁. Na wabarikiwe wana wa Israeli.Mi nimeambiwa hapa muongo
Sa sijui nilete habari ya uongo hapa Ili inisaidie nn🤣,duh
Duh
Ndo maana nikiona hapa wanalete narudi kuangalia na kusikiliza media tofauti
Unavyofikilia hilo litafanikiwa?Mkuu Israel inacho jaribu kufanya ni kupigana vita ya kisakolojia dhidi ya raia wa Gaza yaani ana haribu makazi makusudi ili wananchi wa eneo hilo waichukie Hamas na waione ni chanzo cha matatizo yao.
Sina uhakika kama Iran ianweza ingia na vita na Israel.Tuseme tu ukweli Israeli haiweza kupambana vita na Iran maana kwenye huu mgogoro Israeli imeonesha udhaifu mkubwa