LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Naowaonea huruma ni raia wa kipalestina jinsi wanavyoenda kuuawa kwa makombora ya Israeli! Hamas wanajua kuanzisha vita lakini wanaishia kushindwa vita hali inayowaacha Wapalestina wengi wakiwa katika mateso makubwa!
Wapalestina wakubali hali tu.
 
Acha kupotosha historia wewe.
Unaandika utumbo tu hapa kasome historia vizuri.
Kama hujui sema tukusaidie.
Mrumi na Mjerumani wanahusiana nini na mambo ya middle east????
Kuna nyaraka za kiarabu za umiliki ardhi za miaka ya 1300s hapo palestina wakati huo Israel walikua wapi???
Fuatilia vizuri historia sio stori za vijiweni
 
Duuuh! vita ya pili ya dunia si juzi tu hapa,1939-1945?
Kwakweli hili ndo nimesikia kwako.
 
NA HUU NDIO UKWELI WATU WASIOUJUA.
 
Nahisi umekunywa Chibuku au umekurupuka kuandika ,embu soma andiko lako halafu jaribu kuGugo kisha jipige kifuani mara tatu huku ukisema "mimi ni Naibu Popoma"
 
NA HUU NDIO UKWELI WATU WASIOUJUA.
Mnamezeshana historia za uongo.
Israel kuanzia 1948 alivamia mpaka central Syria ,Misri,gollan heights ,Lebanon pamoja na Jordan.
JE KOTE HUKO KULIKUA KUNA WAISRAELI WAKAONDOSHWA????!!!!!
SYRIA ISRAEL ALIFUATA NINI NA KUFANYA MAUAJI ILHALI SYRIA NI ARDHI YA KIARABU KIHISTORIA????
JORDAN JE???? LEBANON JE?????
MAENEO YOTE HAYO ALITAKA KUYANYAKUA AKASHINDWA AYA NIPE USHAHIDI PIA KUWA ISRAEL ANA HAKI JORDAN NA LEBANON
 
Siku mbili zilizopita kilitokea na shambulio la Orthodox Jews kutemea mate wakristo katika lango la kabisa huko East Jerusalem.
Cha kujiuliza wakristo huwa mnajinasibisha na Hawa wayahudi mkisema ndugu zenu,je ndugu yako wa Imani anaweza temea mate lango la kuingia nyumba yako ya Ibada??!!
Hapo hapo ikumbukwe muandishi wa habari wa aljazeera Sherin Abu Akleh ni mkatoliki na alipigwa risasi mwaka jana kama sikosei na IDF.

View: https://youtu.be/qhWoKZl_CEA?si=gog-TETIuNIFV25_
 
Chuki yeyote haitokei hivihivi j,apo yanayofanyika sio mzuri cheki huu ukatili ambao umefanyika mwaka huu na mwengine mwaka jana ,yaani unazuia hata sehemu ya maji ya kunywa kwa raia ni haki kweli ?

Imagine wewe unakulia mazingira hayo tokea utotoni na familia yako utakuwa na machungu kiasi gani ?

 
Naowaonea huruma ni raia wa kipalestina jinsi wanavyoenda kuuawa kwa makombora ya Israeli! Hamas wanajua kuanzisha vita lakini wanaishia kushindwa vita hali inayowaacha Wapalestina wengi wakiwa katika mateso makubwa!
Wapalestina wakubali hali tu.
Hamas na Israel wamesha pigana vita mara 5 na vita yote haijawahi kupatikana mshindi
 
UK foreign minister statement


The UK unequivocally condemns the horrific attacks by Hamas on Israeli civilians.

The UK will always support Israel’s right to defend itself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…