LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Netanyahu in a special statement: "Citizens of Israel - we are at war." The enemy will pay an unprecedented price."

- Israel’s defense minister has announced the Hamas militant group has started a war against Israel amid infiltrations from paragliders, sea, and ground.

🇮🇱Israel announces Operation 'Iron Swords.'

And it begins! Israeli air force is bombing 🇵🇸Palestinian Terrorists hideouts in Gaza.

Palestinians wamesha salitiwa na Saud Arabia

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu told the U.N. General Assembly on Friday that Israel is “at the cusp” of a historic breakthrough leading to a peace agreement with Saudi Arabia, without outlining a clear path over the significant obstacles facing such an accord

Kinachofata hapa ni kwamba palestinians wamesha malizwa na zionists. Tuwaombee Mungu.
 
Mda wa revenge ukifika tutahitaji maoni yako tena hapa
Revenge haiwastuwa Wapalestina, wamekuwa mashakani nchini mwao toka 1948. Hakuna siku inayopita ambayo hawajauliwa au kuumizwa.

Wanachokifanya sasa hivi In shaa Allah kitabarikiwa.


Huvi wewe hao Watahudi ambao hawataki hata jina la Yesu litajwe alipozaliwa unawaona wa maana sana?

Unaonesha huna hata uelewa hao ashkenazi wamefikaje hapo.
 
BREAKING: Israel's PM Netanyahu says 'the enemy will pay a price like they have never known before'
 
Hezbollah nao wametoa neno

BREAKING: Hezbollah praises Hamas and says they are in direct contact
 
Naomba kuelimishwa kwa nini MAKOMBORA yaliyorushwa na Hamas idadi 5,000 kwa Dk 20, yameleta uharibifu Israel?

Sababu Media zinasifia KINGA YA ANGA YA ISRAEL.
Tueleze ni uharibifu gani umeletwa na hayo makombora. Yameua wangapi, yameharibu nini na nini, kati ya hayo elfu tano ni mangapi yameleta madhara. Makombora 5,000 ni mengi sana kutaja simply eti "yameleta uharibifu" bila kutaja ni upi.

Ukitoka hapo tutajie mashine yeyote duniani yenye efficiency ya 100%.

Ukitoka hapo tutajie kill probability ya mfumo wowote wa anga duniani unaozidi mifumo ya Israel. Maana mtengenezaji wa Iron Dome kwenye makaratasi anadai success rate yake ni 85 to 90% wakati kwenye maroketi ya mwaka jana success rate yake kwenye matumizi halisi ilikuwa ni 97%
 
maroketi 2112 tu ndiyo yaliyoweza kudunguliwa na mfumo wa anga wa Iron dome makombora 2888 yaliyosalia yamepenya na kuua watu takriban watano na kujeruhi takriban mamia ya waisraeli.
Maroketi 2,888 yote hayo yameua watu watano tu. Hayo ni maroketi au mawe?
Hata ukiwapa vijana mawe 2,888 si wanaua watu wengi kuliko waliouwawa na hayo maroketi.
 
Naowaonea huruma ni raia wa kipalestina jinsi wanavyoenda kuuawa kwa makombora ya Israeli! Hamas wanajua kuanzisha vita lakini wanaishia kushindwa vita hali inayowaacha Wapalestina wengi wakiwa katika mateso makubwa!
Wapalestina wakubali hali tu.
Haitakuwa mara ya kwanza wao kuuwawa kwa wingi na nyumba zao kubomolewa na kuchukuliwa kwa maeneo yao
 
Maroketi 2,888 yote hayo yameua watu watano tu. Hayo ni maroketi au mawe?
Hata ukiwapa vijana mawe 2,888 si wanaua watu wengi kuliko waliouwawa na hayo maroketi.h
Huo ni kwa mujibu wa tafiti zao pia vifo vya watu watano ni kwa ripoti za muda ule maana lisaa nyuma waliripoti kifo cha mwanamke mmoja.
USIKUTE KUNA VIFO ZAIDI.
 
Hii video imechukuliwa utamu unadhani movie ,hawa jamaa Hamasi wanapata wapi masilaha ya viwango namna hiyo ?
Imeshangaza wengi hata wanahabari wa Israel waliohojiwa wanasema maroketi haya yanaonekana kuwa na nguvu tofauti ya miaka 2021 kwenda chibi walotumia Hamas.
 
Lakini mbona sasa wanamtaja Mungu?

Ugomvi wa vita na Mungu wapi na wapi?
Uko nyuma sana update software yako kuanzia medulla, cerebellum etc kwani huwajui hao wenye mitazamo hyo ugomvi wowote wanahis kama wanamtetea Mungu wao?
 
Huu ni uhalifu wa kivita

Hauwezi ukawashamhulia raia ambao ni un armed.
Usually inasemwa vita haina macho hata kwenye revenge hatatafutwa tu aliyeshika bunduki yeyote atakaekaa vibaya ataenda na maji.

Ukweli vita ni mbaya sana siyo ya kuombea.
 
Lakini tusisahau kwamba hata bingwa kuna wakati hufika nae akawa mshindani.

Huwezi ukawa kila siku unaongoza wewe tu ipo namna mistakes zinatokea wao nao ni watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…