Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Palestina sio gaza tu , kuna miji mingine ya west bank na ramallah, huko hamna vita wanaenddlea kuzaliana tu , huwezi wazuia wasizaane, waarabu wana asili ya kuzaa watoto wengiMkuu, lengo la Israeli ni kuhakikisha wanajizolea sehemu ingine kubwa ya ardhi (Imperialism) maana uwingi wa wapalestina ni lazima udhibitiwe.
Ndo maana Israeli wanashutumiwa kwa kufanya mauaji ya halaiki au ya kupunguza idadi ya watu.
Kama umemsikiliza Netanyahu (bibi) amesema operesheni ya sasa ni ya kumaliza kazi ili Wapalestina wasiwe na nguvu yoyote.
Tayari nchi nyingi zailaumu Israeli kwa hatua nzito kupitiliza kuita wanajeshi 300,000 ili kukabiliana na wapiganaji wapatao 3000 kwenye taifa la wapalestina lenye watu milioni 2 na nusu.