Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Huyu George Mpole ikiwezekana msimu ujao, wananchi tumpe tu mkataba. Naamini atatusaidia na Mayele pale mbele.

Ni aina ya washambuliaji ambao hawana utani hata kidogo mbele ya lango la mpinzani! Huyu ni tofauti kabisa na yule striker wa Polisi fc Vitalis Mayanga, anayeshikwa na kigugumizi cha miguu awapo kwenye nafasi ya kufunga.
 
Huyu Ngushi sijui kwanini Nabi hamuamini kwenye first eleven
 
Tatizo atamficha mayele, huyo ni husler sio mnyatiaji kama jamaa
 
Huu ukimya unaonesha mambo magumu kwa uto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…