Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Huyu George Mpole ikiwezekana msimu ujao, wananchi tumpe tu mkataba. Naamini atatusaidia na Mayele pale mbele.
Ni aina ya washambuliaji ambao hawana utani hata kidogo mbele ya lango la mpinzani! Huyu ni tofauti kabisa na yule striker wa Polisi fc Vitalis Mayanga, anayeshikwa na kigugumizi cha miguu awapo kwenye nafasi ya kufunga.