Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Hawa walinunua mwamuzi robo fainali na Kagera sugar kisha tukawapiga nne kwenye nusu fainali miaka mitatu iliyopita. Wamejileta tena utopolo.
 
Walikuwa wamekuja kutafutia faraja kwa Yanga baada ya yao kushindwa.

Sasa faraja wamekosa.

Wanaumia.
 
Hawa walinunua mwamuzi robo fainali na Kagera sugar kisha tukawapiga nne kwenye nusu fainali miaka mitatu iliyopita. Wamejileta tena utopolo.
Unaongea ujinga na kusahau mechi ile mlinunua pia (tulikuwa tumetoka wapiga 1-0 ligi kuu)

Mkaenda mwonga morrison dola 10 elfu Ili acheze kimbuzimbuzi mechi ile

Juzi tumewapiga ufunguzi wa ligi yaani nyie n wetu ushindi wenu draw
 
Hao makolo tumesha wapiga ufunguzi wa ligi

Hao makolo wameshangilia droo awamu ya kwanza Hadi leo hawaamini kama walipata draw

Hao makolo tarehe 30 anapiga nyingi mnoooo
Tofautisha future na past.
 
Hahahaha ulitaka refa afanyaje kwamba ile si penati ama ulitaka wakate bao tamu la kumuamisha Kipa la soloya bemba
Sawa leo mchezaji wenu aliyeingia na filimbi kawaokoa
 
Back
Top Bottom