Hapo ndiyo tutatofautiana. Wale watunisia wako kiwango cha juu zaidi ya Yanga, sioni mkiweza kuwafunga hata Dar, labda kwa mambo ya nje ya uwanja. Leo mfurahi kwa matokeo yale. Mrudisheni Feisal, mna mengi ya kuwasaidia kuliko kupoteza kwa kurudi kwake.Ni mpira, ngoja tuone nini kitafunwa wikiend ijayo. Mechi ya jana na ya leo hazikustahili kuisha hivi zilivyoisha. Makocha na wachezaji wana namna la kufanya ili kuliweka sawa kwenye mapungufu.
Te the the the mkuu kiweriweri samahani kidogo hivi ni nani aliyetamka hilo neno (mikimbio) naona linazungumzwa Sana kwenye sport zone hahaha na ilikuwa wapi hukoTutachezesha wachezaji wetu wenye mikimbio mizuri na kusubiri kipa wa Mazembe afanye makosa.
Feisal angesaidia kipi? Sehemu kulipokuwa na mapungufu ni kuwepo kwa mtu kama Morrison.Hapo ndiyo tutatofautiana. Wale watunisia wako kiwango cha juu zaidi ya Yanga, sioni mkiweza kuwafunga hata Dar, labda kwa mambo ya nje ya uwanja. Leo mfurahi kwa matokeo yale. Mrudisheni Feisal, mna mengi ya kuwasaidia kuliko kupoteza kwa kurudi kwake.
Kwa hiyo hiyo jumapili Kibwana atakuwa ameongezeka urefu?Mh basi hata mechi ya Yanga haikufaa kuisha vile, ilipaswa iwe sare ya bila bila maana hakuna mpira wowote wa ajabu wa monastir zaidi kutegemea ufupi wa akina Kibwana.
2-0Vipi kuhusu Simba itashinda au ndo kama Yanga!
Hata kwenye ligi wanastruggle sana kupata goli mpaka kipa akosee ndiyo wafungeSimba itashinda hilo sina wasi wasi kabisa
Hata mechi ya jana haikufaa iishe vile basi tu ni bahati
Ila hii ya Yanga huwezi kusema bahati kwasababu uwezo wa wachezaji ndio ulioamua mechi kuliko mbinu za kocha
Yanga sijaona shambulizi la hatari iliyofanya kiasi wapate kauli ya kusema ni bahati iliwabeba Monastr
Timu zote za Tunisia zinacheza mpira unaofanana sana, slow but sure.Mh basi hata mechi ya Yanga haikufaa kuisha vile, ilipaswa iwe sare ya bila bila maana hakuna mpira wowote wa ajabu wa monastir zaidi kutegemea ufupi wa akina Kibwana.
Yupo LomalisaKwa hiyo hiyo jumapili Kibwana atakuwa ameongezeka urefu?
Utafungua account nyingine kwa email nyingine,hii sio ahadi kwani haikubani wala kukuumizaNdugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili.
Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
View attachment 2515258
Yanga wana dominate mpira lakini hawapeleki pressure kwenye timu pinzani
Wanaweza kushinda home lakini natabiri ugumu
Kuna kaukweli hapa nakaona.Yanga wanaweza wasitoke hata na goli moja kwenye mashindano haya.
Ni vizuri kama mioyo yenu finally imekubali kuachana naye, tunaelewa maumivu ya kuachika yanachukua muda kutulia. Basi mwacheni aende zake sasa, msimpigie hata hizo simu kumwambia eti aangalie future yake kumbe hamtaki tu kumwambia kuwa mnamuhitaji saana.Feisal angesaidia kipi? Sehemu kulipokuwa na mapungufu ni kuwepo kwa mtu kama Morrison.
Dominating and Possessing ni vitu viwili tofauti...Yanga wana dominate mpira lakini hawapeleki pressure kwenye timu pinzani
Wanaweza kushinda home lakini natabiri ugumu
Hapa tupo pamoja Yanga maximum points anaweza kusanya kwenye hilo kundi ni 4 tu na sio zaidi ya hapoHome vs MAZEMBE : Loss - 0 Points
Away vs Real Bamako: Loss - 0 Points
Home vs Real Bamako: Draw/Win -1/3 Points
Home vs Monastir: Draw/Loss - 1/0 Points
Away vs MAZEMBE: Loss - 0 Points
Total Points: 4 or Less
[emoji2303][emoji2303][emoji2303] Hakuna Robo Fainali ya Points 4 hata kama ni Kombe la Ma-loosers...[emoji23][emoji23][emoji23]
WEKA HII RISITI.... [emoji38][emoji38]
Simba hakupigwa presha kwenye ngao Wala ligiYanga wana dominate mpira lakini hawapeleki pressure kwenye timu pinzani
Wanaweza kushinda home lakini natabiri ugumu