Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira
Pamoja na ushabiki wangu wa mnyama, lakini huwa sitoi viapo ambavyo vipo nje ya control yangu. TP Mazembe ina wachezaji wanadamu, na Yanga ina wachezaji wanadamu, so lolote linawezekana. Ikitokea TP Mazembe wameamka wamechoka kwa kupigwa kipapai na wakafungwa, utajitetea vipi? Mimi nikiona ushindi unalalia upande fulani huwa naweka mzigo (nabet), lakini siwezi kuweka post za kinabii bila manufaa
 
Mkuu siku hizi umekuwa mwana familia wa Feitoto au mwana familia ya Nabi au Hersi Saidi? Kiasi kwamba unajua hadi simu za watu wanazopigiana kama vile ni mke au mchumba wa mtu. Habari za kupigiwa simu umezipata wapi mwenzetu?
 
Naunga mkono hoja,,

Na Mimi mniitie PILI MATEGE.

kama UTOPOLO FC itamfunga TP Mazembe.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
🎢Dada Pili eeeh, unalinga nini eeeh, kuna warembo duniani kushinda wewe 🎢
wale wa shule za msingi za kitambo bila shaka watakuwa wanauelewa huu wimbo mahususi kwa Pili matege.
 
Hapa tupo pamoja Yanga maximum points anaweza kusanya kwenye hilo kundi ni 4 tu na sio zaidi ya hapo
Yanga hana uwezo wa kumfunga Monastir wala Tp Mazembe Taifa labda aambulie sare moja kwenye hizo mechi 2
Dah! haya nyie mna points ngapi mpka sasa?
 
Hapa tupo pamoja Yanga maximum points anaweza kusanya kwenye hilo kundi ni 4 tu na sio zaidi ya hapo
Yanga hana uwezo wa kumfunga Monastir wala Tp Mazembe Taifa labda aambulie sare moja kwenye hizo mechi 2
Au sio ndungu mchambuzi
 
Nakuona nakuona mchambuzi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
UTI sugu ikiwapanda hua mnawashwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…