Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili.

Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.


View attachment 2515258
Nadhani sasa ushaona ni jinsi gani mazembe alivofungwa na Yanga
 
Naona ulikua una comment huku umejizima data ukidhani mpira ni maneno
 
Fuh kuna watu huwa wanajifanya wanajua kuchambua ball unaweza akaweka imani yako kwao kumbe hamna kitu
 
Mwenye hii thread naamini tayari kashachukua maamuzi Bora kwake, kwenye huu mchezo pendwa hatutaki mamluki
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 

Nyau ninyi bado mpooo??[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwa heri bwana mawawa kwenye ulimwengu wa mpira rasmi ,tulikupenda ila bana conco bamekupenda zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…