Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

Mkuu wametufunga kwahiyo tunafanyaje , mpira hauna adabu ngoja nizime data😂
 
Mtu haupo hata katika listi ya wachezaji unajiapiza nini.

Kuna mwingine huko nyuma alisema atavua nguo na kutembea hadi Kigoma.

Watu waache mizuka.
 
Bora wewe umejiwahi
Sijajiwahi ila nilishahisi kuanzia maandalizi ya hii derby kulikuwa na maandalizi tofauti sana na nikaja kuvunjika moyo nilipoona kikosi cha yanga eti salumu Abubakar amweke benchi azizi k......pia angalia mtu ambaye yuko kwenye form kwasasa namaanisha Ibrahim baka anaanzaje bench?
 
Back
Top Bottom