Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

Sijajiwahi ila nilishahisi kuanzia maandalizi ya hii derby kulikuwa na maandalizi tofauti sana na nikaja kuvunjika moyo nilipoona kikosi cha yanga eti salumu Abubakar amweke benchi azizi k......pia angalia mtu ambaye yuko kwenye form kwasasa namaanisha Ibrahim baka anaanzaje bench?
Mimi Ni Simba, lkn kocha hakua mjinga Huwezi kumwanzisha baka na Aziz ki. Nafuu kidogo na Ki lkn baka KWA mechi ya dabi no!
 
Back
Top Bottom