Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Bora wewe umejiwahiMimi ni shabiki wa yanga ila hii mechi ya leo simba anashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wewe umejiwahiMimi ni shabiki wa yanga ila hii mechi ya leo simba anashinda
Baada ya mpiira mtasema, Mwarabu atatupiga, Mara ,mnatuzidi pointSawa mkuu tungoje 2nd half
Msimamo wangu ni ule uleHalf american em toa tamko
Sitakuwepo kama simba itashindaBaada ya mpiira mtasema, Mwarabu atatupiga, Mara ,mnatuzidi point
Mda bado mkuuTupo tumekaa palee..tunaskilizia dk😁
Half american
Nakuomba msamehe huyu dogo ana matatizo ya akili msamehe alipitiwa tu kwaniaba yake namuombe msamaha😂 Half american uje unywe dawa kwazaSawa mkuu.
Tutazingatia
Mkuu chezea vyote ila sio Kuchezwa Simba 🤣🤣Ad ww Unansagia kunguni mkuu
Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi.
JamiiForums Moderator
Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa.
View attachment 2589942
kila la heri wananchi [emoji172][emoji169]
Yaan umeniwahi.Mimi nimeomba kupigwa BAN mwaka mzma
So hadi October??Msimamo wangu ni ule ule
Hapana...AANZISHE UZI MPYA WA KUOMBA MSAHAMA KABLA KIPINDI CHA PILI HAKIJAANZA.Nakuomba msamehe huyu dogo ana matatizo ya akili msamehe alipitiwa tu kwaniaba yake namuombe msamaha😂 Half american uje unywe dawa kwaza
daah mwanetu tunaenda kukupoteza miezi sitaNitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi.
JamiiForums Moderator
Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa.
View attachment 2589942
kila la heri wananchi 💚💛
Natumaini umeshamaliza kufungua I'd mpya mpaka muda huu?Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi.
JamiiForums Moderator
Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa.
View attachment 2589942
kila la heri wananchi [emoji172][emoji169]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkuu.
Tutazingatia