Sasa tofauti ya point moja ndio mnaona mpo vizuri halafu kundi lako lina timu zenyewe unazosumbuana nazo ni za chini kwenye rank ya CAFTuna point 2 kwa michezo miwili na nyie mna point 1 kwa michezo miwili usichoelewa nini hapo? Kubalini tu kuwa haya mashindano yako juu ya uwezo wenu.
Inajulikana wazi, ni Al Ahly.Kwenye group la Yanga, naamini timu moja itacheza fainali. Maana siyo kwa mpira ule wa jana.
Hakuna statement sawa ,,aliyeanzsha uzi huu ni utopolo analilia kwamba kundi la simba ni jepesi,,ndo sasa kila mtu ashnde gem zake sio mkimbilie makundi ya wengne kusem ni mepesi pambana kivyakoAkuna aliyekimbilia makundi ya wengine tunaweka statement sawa msiwe mnalinganisha vitu kijinga, Kila mtu apambane na kundi lake ukitaka kulinganisha utakuwa unajivua nguo labda Kama mpira umeujulia ukubwani!
Wapi wew msim uliopita mlkuwa mnazifunga tim dhaifu huko kwa shirikisho mlkuwa mnajisifu sana,,sahz mnakipata ndo akili znawaijiaSasa tofauti ya point moja ndio mnaona mpo vizuri halafu kundi lako lina timu zenyewe unazosumbuana nazo ni za chini kwenye rank ya CAF
Mzee mbona gazeti sana ,,kwan wew kwenye makundi umeshnda na unaongoza kundi au sioHee Kumbe tupo ndani ya Tanzania sio kimataifa tena. Hongera kwa kubeba ngao jamii. Nipo kijijini huku sijafatilia ligi kuu kwa muda mrefu sana hivi nani anayeongoza ligi ya NBC kwasasa? Na matokeo ya derby ilikuaje kuaje?
Kuvuta mkia, ndio mashindano yalivyo, kuna game nne zimebakia ambazo ni sawa na point 12. Kwenye kundi la Yanga kuna Al Ahly ambaye ni wa kwanza na Belouizdad ambaye ni wa nane kwenye rank. Lakini wewe tokea msimu uanze vitimu vilivyochini wakina Power Dynamo, Asec na Galaxy umeshindwa kushinda game hata moja.
Hizo timu dhaifu za huko shirikisho wewe ulishindwa nini kizifunga ili uchukue kombe kama ni timu dhaifu?Wapi wew msim uliopita mlkuwa mnazifunga tim dhaifu huko kwa shirikisho mlkuwa mnajisifu sana,,sahz mnakipata ndo akili znawaijia
kama unaona tofauti ya point moja ni ndogo na wew kuwa na hzo point,,,msm uliopita mlkuw mnacheza na tim dhaifu mkiambiwa mnaleta midomo ,,sahz ndo mnajifanya kujua kwamba kuna tim za rank ya chini tulia dawa iwaingieSasa tofauti ya point moja ndio mnaona mpo vizuri halafu kundi lako lina timu zenyewe unazosumbuana nazo ni za chini kwenye rank ya CAF
Kumbe wew ulichukua kombeππHizo timu dhaifu za huko shirikisho wewe ulishindwa nini kizifunga ili uchukue kombe kama ni timu dhaifu?
Belzoudad ni ya 3 kiubora AfricaHee Kumbe tupo ndani ya Tanzania sio kimataifa tena. Hongera kwa kubeba ngao jamii. Nipo kijijini huku sijafatilia ligi kuu kwa muda mrefu sana hivi nani anayeongoza ligi ya NBC kwasasa? Na matokeo ya derby ilikuaje kuaje?
Kuvuta mkia, ndio mashindano yalivyo, kuna game nne zimebakia ambazo ni sawa na point 12. Kwenye kundi la Yanga kuna Al Ahly ambaye ni wa kwanza na Belouizdad ambaye ni wa nane kwenye rank. Lakini wewe tokea msimu uanze vitimu vilivyochini wakina Power Dynamo, Asec na Galaxy umeshindwa kushinda game hata moja.
Alipofikia Yanga kwenye hiyo michuano ya timu dhaifu mbona hukuwahi kufika mliposhiriki hiyo michuano ya timu dhaifu?Kumbe wew ulichukua kombe[emoji13][emoji13]
Mkikosa cha kufanya huwa mnaanza kujilinganisha na Simba πππππππππKwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
ππππππππ
Wanalaumu sana kuwepo kwa hii sheria mpya maana wangekuwa wamekimbilia shirikisho halafu wangekuja kumtambia Simba na medali za shirikishoMnatafuta kundi la kuhamia ?
Povu jiiingi still hiyo level isiyo yako ilikutoa jasho hadi ukawanga mchana South Africa kwa kuwasha moto uwanjani π€ππππππππ
Mlipoifunga Simba goli 5 mkachapisha na mabango.
Ushindi wenu mnataka kuupata kwa Simba tu?
Mkikutana na wababe mnaanza kutoa sababu zisizo za msingi. Mkacheze shirikisho ndiyo level yenuππππππππ
Wakati wa COVID-19 ilikuwa rahisi Simba kuongoza kundi mbele ya Al Ahly.Simba kwenye ubora wake aliongoza group likiwa na al ahly na walimpiga taifa ila yanga imara ina point moja na inaburuza mkia simba ina poi
Wangepewa group la mwkaa juzi wangeishia kwny gazeti hata kuingia uwanjani wasingeweza...Yanga mnaweweseka. Mlikuwa na expectations za hovyo. Hii siyo shirikisho.
Sasa mmeanza kuona ugumu mnaanza kutafuta pa kujifichia. Ili uwe bora yakubidi upambane na waliobora na uwashinde.
Tulieni dawa iwaingie.
Level yenu ni kucheza shirikisho na lazima uzungumzie shirikisho kwasababu tofauti na hapo hauna cha kumtambia MwakaroboPovu jiiingi still hiyo level isiyo yako ilikutoa jasho hadi ukawanga mchana South Africa kwa kuwasha moto uwanjani π€