Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

Kwa hiyo hao real Bamako wasitegemee kupata point tena?

Hata ya utopolo ee?
 
Game nne zilizobaki, Simba Sc atapoteza game moja tu...
Vipers 1 : 3 Simba
Simba 4 : 1 vipers
Simba 3 : 0 Horoya
Raja 4 : 2 Simba
 
wenye timu zao wanasemaje, ?
 

Niamini, Yanga hatopita. You will he surprised . Tunza hii comment
 
Kuna asilimia kubwa za ukweli.
 
Utopolo 🚮
 
Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda.
1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)
Mkeka wako umechanika mapema tu, hakuna haja ya kufuatilia matokeo mengine
 
Ila kwenye mpira mambo yanabadilika muda wowote,yule anaetabiriwa awezi kuvuka ndo akasonga mbele alafu anaepewa nafasi ya kuvuka akabaki uwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…