Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

Mpira hamjui kazi kubashiri bashiri tu,mpira haunaga kutabiri hzo kazi ni za waganga
 
Tafuta ajira kijana, utakuja kunishukuru kwa wazo hili...
 
Ss hv nazani una ona jinsi gani ulivyo punguani na usikute ktk familia unaonekana mtu wa maana kumbe ovyoo kabisaa [emoji23]
 
Vipi mchawi Simba bado iko mkiani
 
Vipi mchawi Simba bado iko mkiani
Morali ya timu walau imeongezeka. Ingawa bado baadhi yenu mnalalamika timu haichezi vizuri. Udhaifu wa Vipers pia umewasaidia kuwepo hapo mlipo.

Hivyo siyo mbaya mkiendelea kufurahi, baada ya matumaini ya kuendelea hatua inayofuata kurejea.
 
Kwahyo unataka kusema vipers iliyoifunga Yanga sio hii πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwani kila utabiri lazima utokee kama ulivyo tabiriwa? Kama ni hivyo basi Yanga ingekuwa imeshatolewa na Club Africains kule Tunisia.
Na ndio msingi wa swali langu huo! Hamyajui hayo hadi muanze kutabiri?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha kwa monastri..yaani wewe mbumbumbu wa soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…