Mimi sisubiri ninacho andika ndio uhakika na akiwezi kubadilika. Simba papara Yao na ukosefu wa bajeti ya usajili ndio ilio wasukuma kuingia makubaliano waliyo ingia.Wewe unaingiza ushabiki..Mimi nimekuambia ukweli,tarehe moja si wiki ijayo ? Tusubiri
Kama m bet walikua wanangoja sportpesa ,kwann hao sportpesa wasingoje hao m bet maana wa kwanza kutangaza tarehe ni simba na m betNi kesho au tarehe1.?
Anyway. Walikuwa wakingoja Yanga watangaze dau ili nao watangaze lao.
Wannacheza ule mchezo wa "wewe una 6 mimi nina 7"[emoji23]
Wazee wakuongeza sifuri hizi taarifa za sportpesa ndo walikuwa wanazisubiri na sasa hivi wapo kazini kupika taarifa ili kuwatuliza mashabiki zao mambumbumbuTuwangoje wapikaji watakuja na kipi jumamosi.
Kibu jamani[emoji23][emoji23]View attachment 2305668
Iyo 3b uliiona wap,wakitangaza 2b jemakolo wamepewa 3b na m-bet, kwa kuona aibu wanaweza foji number ili waonekane wamepata zaidi.
Nitajie mikabata miwil ambayo waliongeza iyo 0Wazee wa kuongeza sifuri kwenye mikataba yao ndio wakati wao kuja kuongeza sifuri Mara baada ya kutangaza mkataba wao bila kueleza thamani ya huo mkataba
Si ndio mkataba mpya wam bet kwa simbaBilioni 3 kwa mwezi sijaelewa hapo
Mzee wa bil 20 hewaMo Mmoja ni sawa na Sportpesa 100πππ
Taarifa ilishatokaSimba amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya bilioni 31..Subiri tarehe moja tupate taarifa rasmi
Na kwann wafanye ivyo, mbona wacwac mwingi yanga alisain mkataba karbu 3b ,simba hakusain je kuna tatzo ganSimba ata wakificha au kudanganya ni kazi Bure, hakuna Siri ambayo menegment ya M-bet itahusika na mtu mmoja, Siri itavuja tu. Kazi itakua kuwafafanulia mapato na Matumizi Wanachama wa Simba kwenye mkitano mkuu.
Vijana wengi sasa hivi betting ndo ajira yao, sikiliza radio station sasa hivi baadhi ya vipindi vyao kupromote betting tu4bil kwa mwaka, meaning faida ya huyu mtu si chini ya 30bil kwa mwaka.
Inamaana betting ndio inalipa kiasi hiki?
π π π πMakolo waliuza Timu yote kwa Billion 10, kwakweli bwana yule anajua kuwala wajinga π€£π€£π€£
kama hujui kitu kaa kimya, mashabiki wa simba hawatataka kusikia wamezidiwa na yanga hivo lazima watangaze dili sawa na la yanga au zaidi.Iyo 3b uliiona wap,wakitangaza 2b je
Bill 20 Simba ili uzwa Mazima kwa MO[emoji1787][emoji1787]Mo Mmoja ni sawa na Sportpesa 100[emoji23][emoji23][emoji23]
Graphic Kali sana hii
Ni wakati sasa wa hizi klabu kujiendesha zenyewe, bilioni 4 kwa hivi vilabu vyetu ni bajeti tosheleza kkwa hivi vilabu vyetu
Simba hawajaingia mkataba na SportPesa, acha kupotosha. Na hata hao walioingia nao, hawajatangaza viwango na waliwqeka wazi kuwa undani wa mkataba utatangazwa tarehe 1 August. Kumbuka, Simba walikataa ofa hiyo ya SportPesa na hilo lilisemwa na Tarimba Abbas... Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.