Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Sawa
 
Safi sana mkuu
 
Mwarabu hafungwi,ataitafuta hiyo sare kwa namna yoyote ile
 
Narudia kwa mara nyingine, tuupe muda, weekend ijayo sio mbali,
mwisho tuuweshimu mpira, Unavyo uheshimu ww kwa Imani Yako na mapenzi Yako, vivyo hivyo kwangu Mimi Metronidazole 400mg sawa??,, natamani na wenzio kina Makavuli na wote waelewe hili, siwezi kumjibu Kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…