Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

Mwaka huu tukishabeba ndoo ya CAFCC tutajiandaa msimu ujao kubeba CAFCL, wananchi hatuna jambo dogo.
Ee Mungu Muumba mbingu na nchi tunakuomba Wananchi tupate furaha ambayo tangu tuje katika ulimwengu huu hatujawahi kupata kwa kubeba kombe lolote nnje ya Africa mashariki na kati.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Mimi nimekuoneaha budget ya CAF champions league kwa msimu ni usd 12.5 million, naomba nijie na data kuwa CAF huwa wana tumia zaidi ya hiyo kiwango katika kuwapa timu. Huwa sipendagi kwenda kwa nadharia sijui Azam anafanya nini tuangalie kwa nani sijui. Tunazungumzia michuano ya CAF confederation na champions league. Njoo na data zinazo support hoja yako mbona mimi nimeleta evidence?

Njoo na source au kipande cha taarifa ituambie pesa inayotolewa na CAF kwaajili ya maandalizi ni kiasi gani? Jambo kama lipo basi litakuwa lipo wazi hivyo njoo na jibu cha kiasi cha pesa ya maandalizi CAF wanatoa kiasi gani
 
Ndivyo ilivyo ila jamaa anaongea asichokijua na hata uthibitisho hana, analeta maneno ya vijiweni tu
 
Usiruhusu kiwango hiki cha upumbavu kiendelee kukua ndani yako, ni hatari kwa masha yako.

Umenichosha ulivyoandika hii michuano hutoa jezi utadhani haya ni makombe ya kugombea Ng'ombe.

Unafahamu kwa nini vilabu hutafuta watengeneza jezi au wadhamini wa kutengeneza vifaa vya michezo vya klabu? CAF haina kiwanda cha kutoa jezi za GSM — Yanga, Vunja Bei — Simba, Adidas — Al Ahly au O'Neill — TP Mazembe nk.

Tafuta maarifa, penda kujifunza.
 
Ikiwa kila kitu kitabaki sawa halafu tupate na nyongeza ya mwamba mpambanaji Ranga CHIVAVIRO, Yanga hii utazidi kuipenda ndani na kimataifa.
Na huku ndani magolikipa watakuwa wanasingizia kuumwa vidole kila siku kukwepa lawama.
Huyo Chivaviro ni kwikwi
 
Ukiachana na zawadi ya UBINGWA, ina maana kwa lugha nyingine timu iliyofika fainali kwa ngazi ya SHIRIKISHO mpaka sasa hivi itakuwa imeshakusanya zaidi ya USD 2.0 MILLION kwa sababu kila hatua waliyokuwa wanavuka walikuwa wanapewa kitita cha pesa.
Acha uchizi wewe, ukitoka unapewa ukiwa unaendelea hupewi hadi utakapoishia
 
Ikiwa kila kitu kitabaki sawa halafu tupate na nyongeza ya mwamba mpambanaji Ranga CHIVAVIRO, Yanga hii utazidi kuipenda ndani na kimataifa.
Na huku ndani magolikipa watakuwa wanasingizia kuumwa vidole kila siku kukwepa lawama.
Wenzio wamemchukua kipa wa vipers
 
Nyanga pesa walizopata tokea makundi ni nyingi sana. Waanze kujenga uwanja sasa. Bajeti ya bln 10 unatosha uwanja
Hata akiwa bingwa anaishia kupata 4.7 bil sasa ukijumlisha na matumizi anabaki na nini?
 
Acha uchizi wewe, ukitoka unapewa ukiwa unaendelea hupewi hadi utakapoishia
Timu zinaposhiriki michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA na KLABU BINGWA KWA NGAZI YA SHIRIKISHO huwa wanahudumiwa kila kitu, ni viatu tu ndiyo mchezaji anatakiwa kununua cha saizi yake. Lakini vitu vyote ni mdhamini ndiyo anagharamia.
 
Ndiyo! Kwa sababu timu haiwezi kushiriki michuano yoyote pasipokuwa na pesa za maandalizi kutoka kwa mdhamini mkuu au wahusika wa mashindano hayo.
Unapewa kiasi kutoka kwenye hela uliyoahidiwa, kwa mfano ukiingia makundi utapewa laki halafu ukiingia robo ukiambiwa ni laki mbili maana yake ihii laki mbili ya robo inajumuisha na laki ya makundi halafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…