ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hata Yanga alikua robo fainali kumbuka kipindi kile makundi yalikua mawili na hatua inayo fuata ilikua nusu fainaliMimi sijaanzisha uzi wa magoli aliyofungwa Simba, bali uzi wangu unajitegemea, haulinganishiwi na chochote. Uzi unasema Yanga alifungwa magoli 19 katika mechi zote 6 za makundi, na wewe ukitaka anzisha uzi mwingine useme Simba alifungwa magoli 10 katika mechi mbili (tena usitaje matokeo ya mechi nyingine nne, yataharibu uzi maana Simba alivuka kundi hilo hilo alilofungwa magoli 10 akatinga robo fainali)
Hujaelewa. Aliyesema hayakufika magoli 19 ni wewe, na ulikuwa unafananisha magoli 19 waliyofungwa Yanga kwenye mechi 6 na magoli 10 waliyofungwa Simba kwenye mechi 2. Mimi nime-quote hiyo post yako. Soma post namba 7.Hayakufika vipi wakati nyumbani na ugenini Raja alifunga 6 na 3, Manning Rangers alifunga 1 na 4, ASEC alifunga 2 na 3. Hebu jumlisha mwenyewe
Unajua rage akukosea kuwaita mbumbumbuWewe uliyeleta hoja ndiye unapaswa kuthibitisha. Yaani mimi nikuambie wewe ni mwizi halafu nikutume uthibitishe? ππ π
Ahaa, kuna jamaa anaitwa redio alitaka kujaribu kubalance story kwa kuleta maudhui mapya πHujaelewa. Aliyesema hayakufika magoli 19 ni wewe, na ulikuwa unafananisha magoli 19 waliyofungwa Yanga kwenye mechi 6 na magoli 10 waliyofungwa Simba kwenye mechi 2. Mimi nime-quote hiyo post yako. Soma post namba 7.
Subir kuwa mke wa mtu kwenye makundiInawezekana wewe ndio mbumbumbu ila hujijui. Utaiambiaje mahakama eti mshtakiwa athibitishe madai ya mshtaki? Si ujinga huo? π
Akiwa nazo ahmed ali inatoshaNadhani hoja zimeisha π
Ni vema wapenda soka wafuatilie rekodi za Mabingwa wa kihistoria.Yaani mambo ya karne ya 20 unaongelea leo karne ya 21
Mbona Kila siku tunakumbushwa ujio wa mitume?Yaani mambo ya karne ya 20 unaongelea leo karne ya 21
Kwenye goli 19 kwa mechi 6 ni matokeo ya kawaida katika soka.
Sasa mechi mbili goli 10 ni wastani wa hovyo kuwahi kutokea katika soka yaani ni wastani wa kufungwa 5 kila mechi.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app