Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii.
Kama unabisha pitia majukwaa YOTE JF, nenda Twitter, instagram, facebook nk, habari ya mjini unapoongelea michuano ya Afrika ni Yanga SC. Utakuta hata kama mada haihusiani na mpira, lazima jina la Yanga SC liibuke katikati ya mjadala. Licha ya kuwepo uwakilishi wa timu zaidi ya nne, bado TIMU PEKEE inayovuta hisia na kuamsha ari ya mashabiki wote bila kujali timu zao ni Yanga SC. Yanga ndio timu pekee inayowaleta pamoja mashabiki katika ukanda wetu.
Kinachovutia zaidi ni kuona mashabiki na wapenzi wa timu hasimu na Yanga wanavyotumia muda wao mwingi kujaribu kuchambua ubora wa Yanga kulinganisha na wapinzani wao. Hii ni dalili njema mno kwa Yanga kwani inaonyesha ni jinsi gani inafuatiliwa kwa karibu mno na wadau wa soka Mashariki, kati na kusini mwa Afrika.
Yanga NDIO TIMU PEKEE yenye mvuto kwa sasa kwenye ukanda wetu. Yanga ndio timu pekee inayowavutia mashabiki wa soka kufuatilia mechi zake.
Upende usipende hii ni FACT!!