Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Muongo lazima atumie maneno mengiHivi wamekosa mtu wa kufupisha hayo maelezo kwenye paragrafu mbili tu, ukiona mtu anajieleza sana jua amekosea.
Kama madalali tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo lazima atumie maneno mengiHivi wamekosa mtu wa kufupisha hayo maelezo kwenye paragrafu mbili tu, ukiona mtu anajieleza sana jua amekosea.
Yanga ndio headquarters of thugsHizi club za simba&yanga zinaendeshwa kihuni sana
Na viongozi wapyaHii club inahitaji wanasheria wapya. Ujinga na upuuzi umekuwa mwingi sana.
acha bangiMbao andika juu ya klabu kuwa ya kihuni nyie wote simbani..🤣🤣🤣 mnachemsha
Nimesoma chapisho la Afisa Habari wao nime observe vitu kadhaaWeledi gani wametumia?
Mdhamini Mkuu wa Yanga ni Sportpesa, haijalishi anashiriki Kombe gani..
Nyie mmefanya uhuni na kulazimisha.
Ngoja tuone mwisho itakuwaje
Hii club ya mazuzu kweli wameandika upumbavu na kipumbavu tu, naona ni mashetani yamevuliwa baharini huko yanakofugwa
Huyu jemedari sijui Yanga ilimfanyia nini.Bin kazumari akiona hi atajikojolea
Huyu jemedari sijui Yanga ilimfanyia nini.
Viongozi wengi wa yanga ni wajinga na wapumbavuNimesoma chapisho la Afisa Habari wao nime observe vitu kadhaa
Hoja yao kubwa wanadai mdhamini ana mipaka
Jambo ambalo tayari tumelisikia likielezwa na SportPesa kutambua sheria za CAF za kutohusisha mdhamini mwenye kujishughulisha na biashara ya betting
Sasa the way walivyolichukulia Yanga sidhani kama walifikiria sawa sawa.
Kwa mujibu wao ni kwamba mipaka ya mdhamini ni pamoja na kutokuwa na sauti yeyote au nguvu ya kuiamulia pamoja na kutoa approval kwa Club kwa pendekezo la mdhamini mwingine.
Kitu ambacho binafsi naona Yanga hawakuwa smart kwenye kutafsiri maana ya mipaka
Of course Ally Kamwe amefafanua vizuri na zipo nukta alizoelezea vyema ila conclusion aliyokuja nayo ni irrelevant.
Mipaka ya SportPesa kwenye jezi za under 17 inafahamika duniani kote lakini kuichukua hilo kama hoja ya kwenda kumtanhaza mdhamini mpya bila approval ya SportPesa hawakua sahihi.
Sijui umeelewa nn hapo. Afu kuna watu wame-like ulichoandikaAfadhali YANGA mNGENYAMAZA TUU. KWELI YANGA INAONGOZWA KIHUNI.
Safi sana kwa kutoka na kuelezea upande wao wa story. Ushauri wangu kwa wanajamvi, si vizuri ku-take side katika jambo hili katika kipindi hiki ambacho details za mkataba huo bado hatuzijui. Ni mapema sana.
FafanuaHii club ni kikundi cha wahuni tu yani majitu fulani majinga majinga yapo hapo.
Bwege sana yule awezi pata kazi yangaAliombaga Kazi Yanga Akanyimwa Ndo Ttz Lilipoanzia [emoji23]
Wewe umejuajeHivi wamekosa mtu wa kufupisha hayo maelezo kwenye paragrafu mbili tu, ukiona mtu anajieleza sana jua amekosea.
Sportpesa nae kilaza alikua haoni kua Spscore.com ni kitu kilekile?
Soma tena ulichoandikaMbao andika juu ya klabu kuwa ya kihuni nyie wote simbani..🤣🤣🤣 mnachemsha