Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

Weledi gani wametumia?

Mdhamini Mkuu wa Yanga ni Sportpesa, haijalishi anashiriki Kombe gani..

Nyie mmefanya uhuni na kulazimisha.

Ngoja tuone mwisho itakuwaje
Nimesoma chapisho la Afisa Habari wao nime observe vitu kadhaa

Hoja yao kubwa wanadai mdhamini ana mipaka

Jambo ambalo tayari tumelisikia likielezwa na SportPesa kutambua sheria za CAF za kutohusisha mdhamini mwenye kujishughulisha na biashara ya betting

Sasa the way walivyolichukulia Yanga sidhani kama walifikiria sawa sawa.

Kwa mujibu wao ni kwamba mipaka ya mdhamini ni pamoja na kutokuwa na sauti yeyote au nguvu ya kuiamulia pamoja na kutoa approval kwa Club kwa pendekezo la mdhamini mwingine.

Kitu ambacho binafsi naona Yanga hawakuwa smart kwenye kutafsiri maana ya mipaka

Of course Ally Kamwe amefafanua vizuri na zipo nukta alizoelezea vyema ila conclusion aliyokuja nayo ni irrelevant.

Mipaka ya SportPesa kwenye jezi za under 17 inafahamika duniani kote lakini kuichukua hilo kama hoja ya kwenda kumtanhaza mdhamini mpya bila approval ya SportPesa hawakua sahihi.
 
b8d8dd56-602e-4706-8abf-1e166468bb86-jpeg.2504110
View attachment 2504137
Hii club ya mazuzu kweli wameandika upumbavu na kipumbavu tu, naona ni mashetani yamevuliwa baharini huko yanakofugwa
 
Hiyo barua mbona ina double spaces nyingi, imeandikwa kabisa na msomi? Halafu nia ya kuweka muda waliopokea email ni nini hasa?

Usikute imeandikwa na wanasheria wao kina kavulata na leadermoe
 
Nimesoma chapisho la Afisa Habari wao nime observe vitu kadhaa

Hoja yao kubwa wanadai mdhamini ana mipaka

Jambo ambalo tayari tumelisikia likielezwa na SportPesa kutambua sheria za CAF za kutohusisha mdhamini mwenye kujishughulisha na biashara ya betting

Sasa the way walivyolichukulia Yanga sidhani kama walifikiria sawa sawa.

Kwa mujibu wao ni kwamba mipaka ya mdhamini ni pamoja na kutokuwa na sauti yeyote au nguvu ya kuiamulia pamoja na kutoa approval kwa Club kwa pendekezo la mdhamini mwingine.

Kitu ambacho binafsi naona Yanga hawakuwa smart kwenye kutafsiri maana ya mipaka

Of course Ally Kamwe amefafanua vizuri na zipo nukta alizoelezea vyema ila conclusion aliyokuja nayo ni irrelevant.

Mipaka ya SportPesa kwenye jezi za under 17 inafahamika duniani kote lakini kuichukua hilo kama hoja ya kwenda kumtanhaza mdhamini mpya bila approval ya SportPesa hawakua sahihi.
Viongozi wengi wa yanga ni wajinga na wapumbavu
 
Sportpesa nae kilaza alikua haoni kua Spscore.com ni kitu kilekile?

31/1/2023 Sportpesa aliwalika Yanga kuhudhuria uzinduzi wa jezi zenye nembo ya Visit Tanzania
Sasa hizo jezi yeye Sportpesa alizitoa wapi? Yeye ni kit Sponsor? Kwahiyo Sportpesa alishachapisha mpaka jezi tayari😂
 
Kinachofanyika hapo kati ya Yanga na Sportpesa ni biashara (matangazo), redion na kwenye Tv station bila kulipia tena kwenye vipindi vya michezo ambavyo ndo target haswa ya biashara ya sportpesa(betting)....mambumbumbu na makolo endeleeni kutoka mapovu watu wanavuta mkwanja
 
Back
Top Bottom