Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
 
Aiseee hiyo ni bonge la Idea
Mfano waweke kama tour flani hivi kwa kila mkoa au mikoa mikubwa na wahamishe
Wanaweza Tengeneza hela ikasaidia club
Watafanya matumizi kiasi gani ie usafiri,malazi na chakula?Kwa muda gani watatumia?Watabaki na senti ngapi?Wezi wataiba shilingi ngapi?Kodi?Watagawana nini kilichobaki?Think,and think down
-under!
 
Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
Hadi CRDB mmechukua Tayari?
 
Back
Top Bottom