Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana tatizo lipo hapa kwenye udhamini ila ni wazo ambalo limeshawahi pita kwenye vichwa vya wahusika nyakati fulani katika historia ya soka.Usafiri na ulinzi pia malazi hapo wanatafuta wadhamini watakaosimamia hiyo tour
Wajaribu tena nyakati zinabadirika basi ikishindikana sana waongozane nalo kwenye Kila mechi msimu ujao ili team pinzani ikipata mapato ya ndani wao wachukue ya nje kwa kupiga picha yawekwe mazingira mazuri na mpiga picha mzuriInawezekana tatizo lipo hapa kwenye udhamini ila ni wazo ambalo limeshawahi pita kwenye vichwa vya wahusika nyakati fulani katika historia ya soka.
Namuombea leo ashindeKafanya nini tena?
Wanapima upepo tu apo pumzi wote wanazoHakuna sub? Wakicheza wamecheza sio
Uko sahihi sana pre season ifanyike tz wapate mechi na team za kawaida kabisa zile za kule mikoani (zisiwe ligi kuu) nadhani wanaweza pata zaidi ya hiyo yani wanaweza kutengeneza hata 1.5 bl kabla ya msimu kuanzaExactly, hio ni good idea. Another idea ni kama wakiamua kufanya pre season ndani ya Tanzania na wakaanza mapema, wakizunguka mikoa mitatu au minne na kila mkoa wakapiga mechi moja tu ya pre season, hawawezi kukosa 500M mpaka season inaanza.
Subiri nianze kumtafutaSema jitahidi umtafute usijinyime Raha mtafute muonane mpate picha na chakula Cha pamoja maana ni umekufa kuoza kwa Gwede
😂kwa ulivyo hutazuiwa kuingia pale
Na huo ndo ukweli, pre season bongo zinafanyika so shallow and partial. Nikiwa Marekani mwaka juzi, Chelsea ya kina Sterling visited na kulikuwa na organized tournament ya pre season pale Orlando. They were making a lot of money by playing tu yale mashindano ya pre season na team za Marekani, meanwhile wao wakiwa wanaendelea na pre season yao as scheduled. Bongo tunashindwa sana kuvuna pesa nyingi zaidi kupitia fan engagement.Uko sahihi sana pre season ifanyike tz wapate mechi na team za kawaida kabisa zile za kule mikoani (zisiwe ligi kuu) nadhani wanaweza pata zaidi ya hiyo yani wanaweza kutengeneza hata 1.5 bl kabla ya msimu kuanza
Si lazima wao wafanye boss, Andaa proposal, tafuta wadhamini, kutana na viongozi. Timu ni yenu.Wajaribu tena nyakati zinabadirika basi ikishindikana sana waongozane nalo kwenye Kila mechi msimu ujao ili team pinzani ikipata mapato ya ndani wao wachukue ya nje kwa kupiga picha yawekwe mazingira mazuri na mpiga picha mzuri
Unajisumbua..!
Mahangaiko tuUnajisumbua..!