uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
- Thread starter
- #81
Naamini viongozi watajua namna nzuri ya kutengeneza pesa kutoka kwa mashabiki wadhamini hufika mahali wakachokaNa huo ndo ukweli, pre season bongo zinafanyika so shallow and partial. Nikiwa Marekani mwaka juzi, Chelsea ya kina Sterling visited na kulikuwa na organized tournament ya pre season pale Orlando. They were making a lot of money by playing tu yale mashindano ya pre season na team za Marekani, meanwhile wao wakiwa wanaendelea na pre season yao as scheduled. Bongo tunashindwa sana kuvuna pesa nyingi zaidi kupitia fan engagement.