Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

Kama mnaona aibu kujifunza, ndo basi tena..... mshakuwa TP Mazembe kumbe!
Waache ila hiyo namba 3 watakaa sana hapo na mwakani watajikuta wanaigombea na ihefu
 
Elimu Haina mwisho na mambo mapya hutokea Kila siku
Nyie hamtaki kujifunza ndio maana hadi Sasa hamjui shida ni Nini!?
1.Mwekezaji analaumiwa
2.viongizi wanalaumiwa
3.Wachezaji wanalaumiwa
4.Makocha wanafukuzwa na kuondoka daily
5.Marefa wanalaumiwa
6.Yanga inalaumiwa
7.dereva wa basi analaumiwa eti anaendesha kwa Kasi😂😂😂😂
Msolve lipi hamjui njooni shule hamtaki
Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
 
Elimu Haina mwisho na mambo mapya hutokea Kila siku
Nyie hamtaki kujifunza ndio maana hadi Sasa hamjui shida ni Nini!?
1.Mwekezaji analaumiwa
2.viongizi wanalaumiwa
3.Wachezaji wanalaumiwa
4.Makocha wanafukuzwa na kuondoka daily
5.Marefa wanalaumiwa
6.Yanga inalaumiwa
7.dereva wa basi analaumiwa eti anaendesha kwa Kasi😂😂😂😂
Msolve lipi hamjui njooni shule hamtaki
Kama ni hivyo,vitabu vije vijifunze kwa wajingawajinga.
 
Elimu Haina mwisho na mambo mapya hutokea Kila siku
Nyie hamtaki kujifunza ndio maana hadi Sasa hamjui shida ni Nini!?
1.Mwekezaji analaumiwa
2.viongizi wanalaumiwa
3.Wachezaji wanalaumiwa
4.Makocha wanafukuzwa na kuondoka daily
5.Marefa wanalaumiwa
6.Yanga inalaumiwa
7.dereva wa basi analaumiwa eti anaendesha kwa Kasi😂😂😂😂
Msolve lipi hamjui njooni shule hamtaki
Hata muwekezaji mwenyewe ana lalamika kwanini Simba SC iko nafasi ya 3 NBC prlg maana Hela zake Huwa zinarudi kwenye michuano ya club bingwa Africa
 
Wazo zuri wapige na gharama za hiyo timu itakayo zunguka swali je hiyo milioni 600 km itapatikana itatosha kulipa mishahara ya miezi mingapi ya wachezaji na management team ?
Gharama za team itakayozunguka hapo Haina shida kwenye Kila utakapoenda unatafuta hotel inadhamini tour
Unatafuta basi au ndege inadhamini safari kule mikoani na wilayani Kuna wanazi wanakupa pa kulala kula kunywa na Kila kitu na hawajali wale kina lawena msonda makongorosi chunya anaweza hata piga picha milioni,kule Geita ndio kabisa 🙌🙌🙌
 
Kifupi wote hawajui tatizo ni Nini ni mwendo wa kutupiana lawama
 
Gharama za team itakayozunguka hapo Haina shida kwenye Kila utakapoenda unatafuta hotel inadhamini tour
Unatafuta basi au ndege inadhamini safari kule mikoani na wilayani Kuna wanazi wanakupa pa kulala kula kunywa na Kila kitu na hawajali wale kina lawena msonda makongorosi chunya anaweza hata piga picha milioni,kule Geita ndio kabisa 🙌🙌🙌
Ulivyoandika kirahisi utadhani mwanamazingaombwe.
 
Yanga haiwezi kuuwa emotional connection kati ya timu na wanachama au shabiki wao kwa kutoza fedha kupiga picha na kombe.
Hiyo fedha ni ndogo sana ukiweka gharama za usafiri na ulinzi kwenye hiyo tour.
Bora watafute fedha kwa wadhamini watakao lipia safari, branding, na kuandaa platforms lakini waweke mabango yao, banners na stickers kwenye hizo event kisha timu wauze jezi na bidhaa zingine za timu.

Still good idea umetoa, kudos.
 
Gharama za team itakayozunguka hapo Haina shida kwenye Kila utakapoenda unatafuta hotel inadhamini tour
Unatafuta basi au ndege inadhamini safari kule mikoani na wilayani Kuna wanazi wanakupa pa kulala kula kunywa na Kila kitu na hawajali wale kina lawena msonda makongorosi chunya anaweza hata piga picha milioni,kule Geita ndio kabisa 🙌🙌🙌
Walichukue wazo hili ni zuri
 
Wazo zuri wapige na gharama za hiyo timu itakayo zunguka swali je hiyo milioni 600 km itapatikana itatosha kulipa mishahara ya miezi mingapi ya wachezaji na management team ?
Inaweza isilipe wachezaji lakini ikalipa wafanyakazi wengine kimsingi inakuwa ni chanzo kingine cha mapato
 
Wazo jingine ili

WAZAWA
1.Mshery
2.Kibwana
3.Kibabage
4.Job
5.Bacca
6.Mkude
7.Farid
8.Sure Boy
9.Mzize
10.Mudathir
11.Shekhan

WAGENI
1.Diarra
2.Yao
3.Lomalisa
4.Gift
5. Apa sijui akae nani wampe ata CAPITANO
6.Aucho
7.Max
8.Paccome
9.Guede
10.Aziz Ki
11.Musonda

Uwanja estadio Benjamin Mkapa
Kiingilio- 5000

UNAONAJE ILI WAZO MDAU?
 
Yanga haiwezi kuuwa emotional connection kati ya timu na wanachama au shabiki wao kwa kutoza fedha kupiga picha na kombe.
Hiyo fedha ni ndogo sana ukiweka gharama za usafiri na ulinzi kwenye hiyo tour.
Bora watafute fedha kwa wadhamini watakao lipia safari, branding, na kuandaa platforms lakini waweke mabango yao, banners na stickers kwenye hizo event kisha timu wauze jezi na bidhaa zingine za timu.

Still good idea umetoa, kudos.
Usafiri na ulinzi pia malazi hapo wanatafuta wadhamini watakaosimamia hiyo tour
 
Attachments

  • Screenshot_20240515_193009_Instagram.jpg
    Screenshot_20240515_193009_Instagram.jpg
    66.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240515_192958_Instagram.jpg
    Screenshot_20240515_192958_Instagram.jpg
    91 KB · Views: 2
Wazo jingine ili

WAZAWA
1.Mshery
2.Kibwana
3.Kibabage
4.Job
5.Bacca
6.Mkude
7.Farid
8.Sure Boy
9.Mzize
10.Mudathir
11.Shekhan

WAGENI
1.Diarra
2.Yao
3.Lomalisa
4.Gift
5. Apa sijui akae nani wampe ata CAPITANO
6.Aucho
7.Max
8.Paccome
9.Guede
10.Aziz Ki
11.Musonda

Uwanja estadio Benjamin Mkapa
Kiingilio- 5000

UNAONAJE ILI WAZO MDAU?
Hakuna sub? Wakicheza wamecheza sio
 
Wazo jingine ili

WAZAWA
1.Mshery
2.Kibwana
3.Kibabage
4.Job
5.Bacca
6.Mkude
7.Farid
8.Sure Boy
9.Mzize
10.Mudathir
11.Shekhan

WAGENI
1.Diarra
2.Yao
3.Lomalisa
4.Gift
5. Apa sijui akae nani wampe ata CAPITANO
6.Aucho
7.Max
8.Paccome
9.Guede
10.Aziz Ki
11.Musonda

Uwanja estadio Benjamin Mkapa
Kiingilio- 5000

UNAONAJE ILI WAZO MDAU?
Hii iwe yanga family day iwekwe pale Azam kwanza inaleta furaha hata kwa kusoma just for fun 🙌🙌🙌😂before siku ya mwananchi
 
Wazo jingine ili

WAZAWA
1.Mshery
2.Kibwana
3.Kibabage
4.Job
5.Bacca
6.Mkude
7.Farid
8.Sure Boy
9.Mzize
10.Mudathir
11.Shekhan

WAGENI
1.Diarra
2.Yao
3.Lomalisa
4.Gift
5. Apa sijui akae nani wampe ata CAPITANO
6.Aucho
7.Max
8.Paccome
9.Guede
10.Aziz Ki
11.Musonda

Uwanja estadio Benjamin Mkapa
Kiingilio- 5000

UNAONAJE ILI WAZO MDAU?
Au inaweza kuwa nje ya dar ili kusambaza upendo (yanga tour)
 
Back
Top Bottom