Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

Kaka uki draft hii kitu kama ni mtaalamu wa uandishi wanakulipa ,haya ni madini umeyamwaga wao tuu kuokota
 
Kaka uki draft hii kitu kama ni mtaalamu wa uandishi wanakulipa ,haya ni madini umeyamwaga wao tuu kuokota
Wasipofanya hadi season inaanza nitaenda ofisini kwao na kuwapa idea kuwa Kila mechi itakapochezwa msimu ujao makombe yawe nje ya uwanja kwa ajili ya chanzo kingine Cha mapato so team mwenyeji anapata mapato ya ndani yanga tunachukua ya nje
 
Wazo zuri sana mkuu,
Wawachukue na wachezaji kama 4 walisindikize.
Yanga inapendwa mkoani.
Assume basi la Yanga lifike Ngara nyumbani na kombe watapiga hela hadi wakimbie,
Umewapa wazo wajaribu kuliboresha na kulifanyia kaI
 
Eti TP Mazembe wanakuja kujifunza kwa VYURA?🀣🀣🀣
Elimu Haina mwisho na mambo mapya hutokea Kila siku
Nyie hamtaki kujifunza ndio maana hadi Sasa hamjui shida ni Nini!?
1.Mwekezaji analaumiwa
2.viongizi wanalaumiwa
3.Wachezaji wanalaumiwa
4.Makocha wanafukuzwa na kuondoka daily
5.Marefa wanalaumiwa
6.Yanga inalaumiwa
7.dereva wa basi analaumiwa eti anaendesha kwa KasiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Msolve lipi hamjui njooni shule hamtaki
 
Wazo zuri wapige na gharama za hiyo timu itakayo zunguka swali je hiyo milioni 600 km itapatikana itatosha kulipa mishahara ya miezi mingapi ya wachezaji na management team ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…