Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

Naamini viongozi watajua namna nzuri ya kutengeneza pesa kutoka kwa mashabiki wadhamini hufika mahali wakachoka
 
Kweli inawezekana na huenda wakapata zaidi. Hilo wazo wanaweza kulifanyia kazi.
 
Kama nimeona kwa Millardayo kitu kama hiki..
 
Tuna kombe moja so far, isije ikawa uchuro.
 
Kama nimeona kwa Millardayo kitu kama hiki..
Binafsi sijaona popote basi ni wazo TU limenijia baada ya kuona Jana Madrid watu wamejaza uwanja kuangalia big screen na kuingizia team mapato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…